Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

Clomifene worked for me. Nika conceive na nikapata katoto kangu. Kuhusu mzunguko mi sijui nikuombee tu kitu kinase.
 
Rafiki yangu alikuwa anatatizo hill yani hivo hivo ka mkeo nikamshauri spate clomiphene au clomid alitumia na alishapata mimba ana kama mwezi na nusu hivi. Tatizo alilonalo mkeo no hormone imbalance hivo ovulation inapo tokea hataweza kujua au haitokei kabisa hivo mnakuwa mnapishana nayo clomiphene ina hormone inaitwa estrogen ambayo inaenda kuchochea ovulation hivo akitumia hiyo atapata tu.
 
Na hiyo clomiphene anatakiwa anywe siku ya tano tangu alipoanza SIKU zake afu mtaduu kuanzia SIKU ya 11 had I ya 17 kwasababu amekuwa na mzunguko mrefu Wa SIKU 33 nakuapia atapata
 
Habari zenu wana jf.
Nahitaji mawazo yenu maana nadata hapa. Kabla sijaanza kutafta mtoto na wife wangu mzunguko wake ulikua fixed siku 26, mwezi wa 8 nikafanya nae siku za hatari haikunasa badala yake mzunguko ukasogea mbele ikawa 28.
Nikacheza tena safari hii nikapata matumaini makubwa sana maana siku ya 28 hakuna bleed nikajua nimeshinda. Cha ajabu tar 33 bleed ikaanza ambayo ni tar 28 october.
Nimejaribu kumpigia doct mmoja akanambia wife anunue dawa zinaitwa @clomiphene ndo hapo nimedata je kuna mtu ilishawahi kumtokea hii? Na wapi naweza pata msaada na ni vipimo gani akapime.
Pengine nimeandika vibaya ila kama sijaeleweka niulizeni ntatoa ushirikiano lengo nifanikiwe

Kabla ya kuhamia kwenye madawa jaribuni kuondoa hio tension ya kwamba kunatafutwa mtoto.... Stress hubadili mzunguko wa mwanamkehivyo uwezekano wa kupata mtoto hubadilika pia.

Sasa, wewe piga mikasi yako kama kawa. Uzunguke nae sehemu ambazo zitatoa stress na pia usimpe pressure kwamba mnatafuta mtoto. Miezi miwili ni mapemasana kuanza kutafuta madawa.
 
Na hiyo clomiphene anatakiwa anywe siku ya tano tangu alipoanza SIKU zake afu mtaduu kuanzia SIKU ya 11 had I ya 17 kwasababu amekuwa na mzunguko mrefu Wa SIKU 33 nakuapia atapata

shukrani sana sana lazma ntaleta mrejesho hapa manake nina ham sana na mtoto
 
Am not sure sweetie. Na sijawahi hata kufatilia. Mtu anamezaga in cycles but I think Mungu aliona my desperation. Nilimeza one cycle only nika conceive.
Ila nitafuatilia. Nahisi mayai yangu yalikuwa hayaivi. Im not sure.

Ok
Nimekuelewa
 
Rafiki yangu alikuwa anatatizo hill yani hivo hivo ka mkeo nikamshauri spate clomiphene au clomid alitumia na alishapata mimba ana kama mwezi na nusu hivi. Tatizo alilonalo mkeo no hormone imbalance hivo ovulation inapo tokea hataweza kujua au haitokei kabisa hivo mnakuwa mnapishana nayo clomiphene ina hormone inaitwa estrogen ambayo inaenda kuchochea ovulation hivo akitumia hiyo atapata tu.

Nina rafiki yangu yy pia alikuwa hapati wakaenda kwenye vipimo wakaambiwa same thing kuhusu hormone bt yy alitumia asali na amdalasini haikuchukua ht muda ikanasa...ana mtt ss ...nafikiri hii ni km tiba mbadala ya hivyo vidonge
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakushauri kabla ya kutumia hizo dawa ulizoshauriwa ni vyema mkaenda hospitali kwa ushauri na vipimo ili kubaini tatizo. Pia kabla ya tendo la ndoa mshirikishe Mungu kwani Shetani nae yuko kazini...
 
Hajawahi kutumia dawa za majira? Mpeleke hospitali amuone Dr wa magonjwa ya wanawake kwa ushauri na vipimo zaidi
 
Nakushauri kabla ya kutumia hizo dawa ulizoshauriwa ni vyema mkaenda hospitali kwa ushauri na vipimo ili kubaini tatizo. Pia kabla ya tendo la ndoa mshirikishe Mungu kwani Shetani nae yuko kazini...

yes ndugu Mungu tunamshirikisha sana tangu mwanzo na huyu ni wife halali sio mchepuko ndo mana niko free. Ushauri wenu woote nauchukua hasa ile ya kuondoa tensiona let me allow my mind to relax. Thanx all
 
Rafiki yangu alikuwa anatatizo hill yani hivo hivo ka mkeo nikamshauri spate clomiphene au clomid alitumia na alishapata mimba ana kama mwezi na nusu hivi. Tatizo alilonalo mkeo no hormone imbalance hivo ovulation inapo tokea hataweza kujua au haitokei kabisa hivo mnakuwa mnapishana nayo clomiphene ina hormone inaitwa estrogen ambayo inaenda kuchochea ovulation hivo akitumia hiyo atapata tu.

Je kama mwanaume nae sperm haziko strong tutajuaje!? Maana lazima kila upande ujiridhishe!
 
Ni mnene????mimi piai nina tatizo km hilo nina apointment na gyenacologist nikimuona nitajua nina tatizo gani na wewe book umuone gyenacologist mie doctor kaniambia initial ni polystitic ovaries ila kanirefer kwa gynecologist for further test....m
 
well spoken impaler..!
nafikir pia kaka atakuwa anapishaba na production ya mayai kwa kutegea siku za hatar tu..! as long as ni mkeo, punguza tension ya mtoto, na mkeo aondoe tension na stress pia..! na fanyen any time u feel huku mkiwa na amani..!
Msimwache Mungu ktk hili
 
point taken
 
Back
Top Bottom