Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jf.
Nahitaji mawazo yenu maana nadata hapa. Kabla sijaanza kutafta mtoto na wife wangu mzunguko wake ulikua fixed siku 26, mwezi wa 8 nikafanya nae siku za hatari haikunasa badala yake mzunguko ukasogea mbele ikawa 28.
Nikacheza tena safari hii nikapata matumaini makubwa sana maana siku ya 28 hakuna bleed nikajua nimeshinda. Cha ajabu tar 33 bleed ikaanza ambayo ni tar 28 october.
Nimejaribu kumpigia doct mmoja akanambia wife anunue dawa zinaitwa @clomiphene ndo hapo nimedata je kuna mtu ilishawahi kumtokea hii? Na wapi naweza pata msaada na ni vipimo gani akapime.
Pengine nimeandika vibaya ila kama sijaeleweka niulizeni ntatoa ushirikiano lengo nifanikiwe
Na hiyo clomiphene anatakiwa anywe siku ya tano tangu alipoanza SIKU zake afu mtaduu kuanzia SIKU ya 11 had I ya 17 kwasababu amekuwa na mzunguko mrefu Wa SIKU 33 nakuapia atapata
Clomifene worked for me. Nika conceive na nikapata katoto kangu. Kuhusu mzunguko mi sijui nikuombee tu kitu kinase.
Am not sure sweetie. Na sijawahi hata kufatilia. Mtu anamezaga in cycles but I think Mungu aliona my desperation. Nilimeza one cycle only nika conceive.Hizi dawa ni za nn hasa mkuu?
Am not sure sweetie. Na sijawahi hata kufatilia. Mtu anamezaga in cycles but I think Mungu aliona my desperation. Nilimeza one cycle only nika conceive.
Ila nitafuatilia. Nahisi mayai yangu yalikuwa hayaivi. Im not sure.
Rafiki yangu alikuwa anatatizo hill yani hivo hivo ka mkeo nikamshauri spate clomiphene au clomid alitumia na alishapata mimba ana kama mwezi na nusu hivi. Tatizo alilonalo mkeo no hormone imbalance hivo ovulation inapo tokea hataweza kujua au haitokei kabisa hivo mnakuwa mnapishana nayo clomiphene ina hormone inaitwa estrogen ambayo inaenda kuchochea ovulation hivo akitumia hiyo atapata tu.
je mlishusha ingini? ( kuwa muwazi)
Nakushauri kabla ya kutumia hizo dawa ulizoshauriwa ni vyema mkaenda hospitali kwa ushauri na vipimo ili kubaini tatizo. Pia kabla ya tendo la ndoa mshirikishe Mungu kwani Shetani nae yuko kazini...
Rafiki yangu alikuwa anatatizo hill yani hivo hivo ka mkeo nikamshauri spate clomiphene au clomid alitumia na alishapata mimba ana kama mwezi na nusu hivi. Tatizo alilonalo mkeo no hormone imbalance hivo ovulation inapo tokea hataweza kujua au haitokei kabisa hivo mnakuwa mnapishana nayo clomiphene ina hormone inaitwa estrogen ambayo inaenda kuchochea ovulation hivo akitumia hiyo atapata tu.
well spoken impaler..!
nafikir pia kaka atakuwa anapishaba na production ya mayai kwa kutegea siku za hatar tu..! as long as ni mkeo, punguza tension ya mtoto, na mkeo aondoe tension na stress pia..! na fanyen any time u feel huku mkiwa na amani..!
Msimwache Mungu ktk hili