Yeah, nakumbuka wareno waliokuwa kqtika misukosuko waliokuwa wakienda India lakini walipoona sehemu ya ardhi wakajisemea 'a Cape of good hope' yaani rasi ya tumaini jema na hapo ndipo walipoweka kambi yao Kwa madiba.Unaikumbuka rasi ya Tumaini Jema ?
Rasi ya Tumaini Jema.....Yeah, nakumbuka wareno waliokuwa kqtika misukosuko waliokuwa wakienda India lakini walipoona sehemu ya ardhi wakajisemea 'a Cape of good hope' yaani rasi ya tumaini jema na hapo ndipo walipoweka kambi yao Kwa madiba.
Hahahaha,,Mkuu nyumbani ni nyumbani na aendaye kwao si mtumwa Wala aliyepotoka.
Umenena.Rasi ya Tumaini Jema.....
Iko hivyo 😃Hahahaha,,