GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hahahhahaha Jf inabidi inanze kulipa watu Kwa umaarufu wao maana kuna watu wanateseka sanaKuna Uzi uliandika huku Simba inafungwa tarehe 5, Leo tena unasema inashinda ... Baada ya mechi uta search ulioenda sahihi uje kujisifu... We jamaa bana
Kwani Simba SC inacheza na nani vile Mchezo ujao? Mimi sikuwa Uraiani nilikuwa natumikia Adhabu na Kipondo cha MP wa JWTZ wa Lugalo pale Uwanja wa Mateso na Shuruba Mwenge.Kuna Uzi uliandika huku Simba inafungwa tarehe 5, Leo tena unasema inashinda ... Baada ya mechi uta search ulioenda sahihi uje kujisifu... We jamaa bana
Wako wengi sana Wanaoteseka kwa Umaarufu wangu mkubwa na wa Kipekee hapa JamiiForums. Na watateseka sana tu hadi Wakome na Wajinyonge wafe Kudadadeki zao.Hahahhahaha Jf inabidi inanze kulipa watu Kwa umaarufu wao maana kuna watu wanateseka sana
Mmemuua poti au? Kuna kanali namjua anaitwa Muna nae ni mtu wa singida ila yupo kambi ya Arusha ngoja niulize isije kua huyo ndo mmepita nae wana kaweKwani Simba SC inacheza na nani vile Mchezo ujao? Mimi sikuwa Uraiani nilikuwa natumikia Adhabu na Kipondo cha MP wa JWTZ wa Lugalo pale Uwanja wa Mateso na Shuruba Mwenge.
Umaarufu maandaziWako wengi sana Wanaoteseka kwa Umaarufu wangu mkubwa na wa Kipekee hapa JamiiForums. Na watateseka sana tu hadi Wakome na Wajinyonge wafe Kudadadeki zao.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kijana Angalia inaonesha una ukozefu wa akili wewSijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea Huruma kwani ule Mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC Kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi Kwao ( hao nitakaokutana nao NBC Premier League ) baada ya Jana Kumfunga Mbabe wake Mtu naenda Kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga ( namfunga ) Goli 8 japo Goli 6 naziona kutokana na Mabeki wake ( #4 na #5 ? kuwa Wabovu ( hawaelewani na wanakatika ) sana huku Kipa Wao ( anayefungika Kirahisi mipira ya Krosi na ya Mkono wake wa Kushoto ) akijiamini kupita Maelezo.
Mechi ya mwezi ujao wakifungwa wanasema hawaitambui na haipo kwenye kalendaKwani Simba SC inacheza na nani vile Mchezo ujao? Mimi sikuwa Uraiani nilikuwa natumikia Adhabu na Kipondo cha MP wa JWTZ wa Lugalo pale Uwanja wa Mateso na Shuruba Mwenge.