Nini kinaendelea? Internet ni shida na Askari wapo kila kona

Nini kinaendelea? Internet ni shida na Askari wapo kila kona

Huyo Kabudi ni bonge la mjinga, mkristo kabisa anavaa kanzu na barakhashea. Mbona Mchegerwa, Kombo nk hawavai misalaba hata wakikutana na baba mtakatifu.
Huyu mtu wengi hawakumwelewa alipojieleza kuwa na sifa ya yeye "kuokotwa Jalalani"

Matendo yake yamedhihirisha pasi ya wasiwasi usahihi wa sifa hiyo kumhusu.
 
Ee Mungu mtukufu, muumba wa mbingu na ardhi twakuomba Uturehemu waja wako Watanganyika. Utusamehe pale tulipokukosea. Utusaidie kuendelea kuijenga nchi yetu nzuri uliyotupatia. Wote tuseme "Amina" kwa sauti kubwa
 
08 March 2026
Prof. Kabudi - Mambo Ni Shwari

PROF. KABUDI URGES THE DIASPORA TO INVEST IN TANZANIA
View attachment 3555528
Photo: Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi

The Minister of State in the President’s Office (Special Duties), Prof. Palamagamba Kabudi, has called on Tanzanians living abroad (the Diaspora) to keep investing in Tanzania and actively take part in national development efforts.

He highlighted that Tanzanians overseas have a major opportunity to boost the country’s economy through capital investments, expertise, and their experiences gained abroad.

Prof. Kabudi made these comments during a meeting with Tanzanians in London, United Kingdom, where he delivered greetings from the President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, along with the Government’s message to Tanzanians in the Diaspora.

He stressed that the Government is working hard to fix, rebuild, and improve various sectors.Prof. Kabudi encouraged Tanzanians abroad to buy shares in development projects in Tanzania, take part in joint investment efforts, and apply their professional skills by working with experts in Tanzania to support growth in key sectors, including health, education, and technology.

At the meeting, the High Commissioner of Tanzania to the United Kingdom, H.E. Mbelwa Kairuki, said that the Government will keep working closely with Tanzanians abroad through its diplomatic missions. He added that the Tanzanian High Commission in London will continue to be an important link between the Government and the Diaspora to strengthen cooperation on investment and development.

On behalf of the Diaspora, Mr. Hassan Khamis thanked Prof. Kabudi for his visit and for meeting with Tanzanians overseas. He said that the visit demonstrates the Government’s commitment to improving communication with the Diaspora and pledged that Tanzanians abroad will keep working with the Government to develop their country.

During the meeting, Prof. Palamagamba Kabudi was joined by the Presidential Advisor on Diplomacy, Ambassador Lazaro Nyalandu.

Prof. Kabudi and his team are in the United Kingdom to attend Commonwealth meetings and take part in discussions to boost international cooperation and development among member countries
View attachment 3555529
View attachment 3555530

nilijua tu this fool is muslim, ndiyo maana anaongea bila ya kituo wala kufikiri …

1773069464042.jpeg
 
Kunywa bia mzee ukiwaza sana hii nchi utakua CHIZI shauri zako....🍻🍻
 
Mhalifu na kundi lake huwajui wewe?
Samia ni mhalifu; hao mapolisi na mitutu wanalinda wahalifu.
Hili nalo mpaka uambiwe ndipo ujue?
Kanuni za saikolojia zinasema kuwa mhalifu huwa anamkimbia askari.
 
Serikali ya Tanzania ipo Vitani? Internet ni shida, na Askari kila kila kona

Nini kinaendelea? Wananchi tuambiwe kama TFF wameshaingia Mjjini ili tusaidie kuwatafuta.

Hakuna huduma za Kijamii zinayumba.. Watoa huduma kama NIDA, UHAMIAJI, TRA, RITA, Mifumo inasumbua na haaisomani. Baadhi ya mitandao ya kijamii kuipata hadi utumie VPN.

Mwigulu aliyegawiwa Uwaziri Mkuu yupo anafanya maigizo ili kuwapumbaza Wananchi. Na Mzanzibari Samia Sulluhu kila anapoongea hakuna anaye elewa anaongea nini.

Je, Nchi ipo Salama? Kama Ipo Salama mvutano ni wa nini?
"We're coming cool"...
 
Kwenye internet hapo bonyeza #102=
 
Vodacom naona wamashikwa pabaya na wahuni. Internet yao kwishnei .... Ni mwendo wa Yas au Airtel ambao huko nyuma wakiburuza mkia. 😂 Mwisho wa maigizo yanajaribiwa!!. Nerd 🤓
Jana tigo/Yass iligoma internet hata websites na App za kawaida ambazo hazijafungiwa.
Nikajaribu VEEPEENNN ikafunguka.
Something wrong somewhere.
 
Kwani wewe ni mhalifu ?

Mbona unahofia sana uwepo wa Askari.

Raia wema wengi tu wapo na hawalalamiki.
Watalalamikia wapi? Kutohoji ndo unaita ni uraia wema? Dar kuna shida yaji na wasio hoji ndo raia wema sio?
 
Huyo Kabudi ni bonge la mjinga, mkristo kabisa anavaa kanzu na barakhashea. Mbona Mchegerwa, Kombo nk hawavai misalaba hata wakikutana na baba mtakatifu?
Una bifu na kanzu mkuu? mbona hata yesu alivaa na akasema ukiwa na kanzu mbili moja mpe mwenzio.
 
Tunasikia Samia yuko hospitali mahututi,au yupo mahututi kwa mganga wa kienyeji.
Kesho yake tunamuona kwenye mkutano.
Kesho kutwa yake tunasikia yuko mahututi.
She cannot decide whether she want to be sick or well.
 
Serikali ya Tanzania ipo Vitani? Internet ni shida, na Askari kila kila kona

Nini kinaendelea? Wananchi tuambiwe kama TFF wameshaingia Mjjini ili tusaidie kuwatafuta.

Hakuna huduma za Kijamii, zote zinayumba.. Watoa huduma kama NIDA, UHAMIAJI, TRA, RITA, Mifumo inasumbua na haaisomani. Baadhi ya mitandao ya kijamii kuipata hadi utumie VPN.

Mwigulu aliyegawiwa Uwaziri Mkuu yupo anafanya maigizo ili kuwapumbaza Wananchi. Na Mzanzibari Samia Sulluhu kila anapoongea hakuna anaye elewa anaongea nini.

Je, Nchi ipo Salama? Kama Ipo Salama mvutano ni wa nini?
Ilikuwa kutokana na hofu juu ya BAWACHA kuweza kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

Inteijensia ya Polisi ilionyesha eti Ujumbe waliokuwa nao ungeleta taharuki. ndani ya CCM
 
Back
Top Bottom