Nini kinaendelea? Internet ni shida na Askari wapo kila kona

Nini kinaendelea? Internet ni shida na Askari wapo kila kona

Ilikuwa kutokana na hofu juu ya BAWACHA kuweza kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

Inteijensia ya Polisi ilionyesha eti Ujumbe waliokuwa nao ungeleta taharuki. ndani ya CCM
Hawa watu wamechanganyikiwa hawajui nini wafanye na kwa wakati gani.

Uchaguzi wao wa maigizo ulishanalizika lkn hata wao wenyewe hawajui hilo. Sehemu nyingi kwenye nchi yetu bado mabango ya kampeni yamejazana. Wameishiwa maarifa kazi iliyobaki ni maigizo tu.

Hawa askari waliojazwa mitaani njaa itawashika matokeo yake wataanza kujiongeza. Ni suala la muda tu. Wataanza kufanya kazi ambayo siyo iliyokuwa imekusudiwa. Maumivu yatawarudia waliowatuma.
 
Una bifu na kanzu mkuu? mbona hata yesu alivaa na akasema ukiwa na kanzu mbili moja mpe mwenzio.
Wakristo wanavaa majoho boss, sio kanzu. Ok tuache hiyo kanzu, je barakashea? Umewahi kumuona muisilamu akivaa msalaba kwenye hafla yoyote ya kikristo?
 
Bongo bwana pametuliaaa. Walio vitani wanarudi nyumbani we unatuambia Kuna mvutano , eti tff!
Kaa kwa kutulia mkuu!
Unataka viongozi wakufanyie Nini? Wakiongea hamtaki!
Wakitenda hamtaki!
Wakinyamaza wamekaa kimya mnaanza kuwazushia vifo!
Nb. Samia iz here to stay hutaki kunywa sumu
 
Kanuni za saikolojia zinasema kuwa mhalifu huwa anamkimbia askari.
Hii ndiyo mipasho anayotumia Samia na kuwafanya watu kama wewe mjione mnacho chochote cha kueleza wengine?

Wewe umekuwa mtaalam wa "saikolojia" tokea lini?

Hiyo "kanuni" inatumika hovyo hovyo tu hata wakati majambazi wenyewe ndio askari?
 
Serikali ya Tanzania ipo Vitani? Internet ni shida, na Askari kila kila kona

Nini kinaendelea? Wananchi tuambiwe kama TFF wameshaingia Mjini ili tusaidie kuwatafuta.

Hakuna huduma za Kijamii, zote zinayumba.. Watoa huduma kama NIDA, UHAMIAJI, TRA, RITA, Mifumo inasumbua na haisomani. Baadhi ya mitandao ya kijamii kuipata hadi utumie VPN.

Mwigulu aliyegawiwa Uwaziri Mkuu, yupo anafanya maigizo ili kuwapumbaza Wananchi. Na Samia kila anapoongea hakuna anayeelewa anaongea nini.

Je, Nchi ipo Salama? Kama Ipo Salama mvutano ni wa nini?
Damu za Mo29 hazitowaacha salama!
 
Wakristo wanavaa majoho boss, sio kanzu. Ok tuache hiyo kanzu, je barakashea? Umewahi kumuona muisilamu akivaa msalaba kwenye hafla yoyote ya kikristo?
Kwani zile wanazovaa maaskofu wa kanisa la roma sio barakashia zile! au zinakuchanganya kwa vile wanavaa kiswaga wanabandika kichogoni fulani hivi, halafu mkuu hata waislam wanavaa majoho unalijua hilo.
 
Huyo Kabudi ni bonge la mjinga, mkristo kabisa anavaa kanzu na barakhashea. Mbona Mchegerwa, Kombo nk hawavai misalaba hata wakikutana na baba mtakatifu?
Wakristo huwa wanajipendekeza kwa Waislamu.

Kama leo Wasabato waliandaa futari mahala fulani kwa ajili ya Waislamu.

Wakati huo kuna tangazo la Azam Tv linawatakia Waislamu Ramadhan Kareem ila halisemi chochote kuhusu Kwaresma ambayo nayo inaendelea sambamba na mfungo wa Ramadhani.
 
Mirija ya misaada imekatwa ndo maana. Nchi ya hovyo sana halafu huko kuna mi PhD mingi imebaki tu kujaza vyoo vya ofisi ya serikali. Yenyewe inawaza kukopa tu na kuwawekea wananchi mzigo mkubwa wa madeni kulipa wakitafuna hela za umma. Hakuna chochote yanafanya .

Hii ni serikali ya Samia ambayo haina legitimacy!! Kwavile haina uhalali ndio maana wanahangaika hawatulii na Samia mwenyewe hana AMANI katika nafsi yake!! Sintashangaa kama huyu mama hata usingizi hapati kwani damu za watu aliowaua lazıma zitakuwa zinamsuta!!! Kutokuwa na Amani kwake ndio maana kila wakati wanawasiwasi kuwa watu wanamipango mibaya juu yao hivyo kuwatia hofu wananchi kwa kuwateka na kuwasambaza maaskari mitaani kote na hiyo ikiwa dhahiri matumizi mabaya ya kodi za wananchi!!!
 
Kwani zile wanazovaa maaskofu wa kanisa la roma sio barakashia zile! au zinakuchanganya kwa vile wanavaa kiswaga wanabandika kichogoni fulani hivi, halafu mkuu hata waislam wanavaa majoho unalijua hilo.
Nenda kaweke yale majoho nje ya msikiti uone kama waisilamu watanuanua hata uuze elfu 2@
 
Nenda kaweke yale majoho nje ya msikiti uone kama waisilamu watanuanua hata uuze elfu 2@
Mkuu vazi linaweza kuwa na mitindo tofauti ila jina linabaki kuwa lile lile, ndo maana kuna majoho ya maaskofu, kuna majoho ya waislam,
kuna majoho ya mahakamani, kuna majoho ya wanachuo, pamoja na aina zote hizo ila mwishoe linabaki kuwa joho tu, mfano gauni lina mitindo ya kila aina, mtu anashona mtindo anaoutaka ila mwisho wa siku linabaki kuitwa gauni.
yesu kwenye bibilia alitaja kanzu na kuna sehemu alitaja joho ila hakusema aina ya mtindo, halafu mikoa ya pwani kuna wazee wengi tu wa kikristo wanavaa barakashia na wala kuvaa kwao barakashia hakuwafanyi kuwa waislam, mbona waislam wengi tu wanavaa suti na bado wanabaki kuwa waislam!.
 
Narudia tena, kama majoho yana maana moja na kanzu, kaweke hapo msikitini uone kama watanunua. Hao wazee wa pwani wanaovaa kanzu wakati ni wakristo wengi ni kutokana na sababu kadhaa, ikiwemo jamii inayowazunguka, na upatikanaji wa mavazi hayo kirahisi katika maeneo hayo, bila kusahau na unafuu wa bei.

Na kwa kukusaidia, suti sio vazi la kikiristo bali la wazungu. Ni wazi wazungu wengi ni wakristo hivyo kuvaa vazi hilo sana hadi kunasibishwa na ukristo. Unahitaji ufafanuzi zaidi?
 
Wakristo huwa wanajipendekeza kwa Waislamu.

Kama leo Wasabato waliandaa futari mahala fulani kwa ajili ya Waislamu.

Wakati huo kuna tangazo la Azam Tv linawatakia Waislamu Ramadhan Kareem ila halisemi chochote kuhusu Kwaresma ambayo nayo inaendelea sambamba na mfungo wa Ramadhani.

100%, Christians wa tanzagiza ni kama chura aliyeko kwenye sufuria la maji ya uvuguvugu anaona raha na lile joto la maji lkn ambacho chura hakukijua ni kwamba joto la maji linaongezeka polepole huku akiona raha akajisau kuruka joto likafikia 100 degrees (C) akachomeka na kufa, muslims wa tanzagiza wako vitani against ''mfumo Kristo '' i.e kuangusha mfumo uliopo na kuestablish islamic sharia law na tangia regime hii wameshapiga hatua kubwa sana mbele kuestablish islamic republic kilichobakia ni jina tu officially, huko mikoani ambako hata hakukuwa na muslims kumeshakuwa islamized, jeshini, finance hazina yote wazanibari (muslims), Christians bado wako usingizini wanafuturusha ramadhani ...

1773213155494.png
 
Narudia tena, kama majoho yana maana moja na kanzu, kaweke hapo msikitini uone kama watanunua. Hao wazee wa pwani wanaovaa kanzu wakati ni wakristo wengi ni kutokana na sababu kadhaa, ikiwemo jamii inayowazunguka, na upatikanaji wa mavazi hayo kirahisi katika maeneo hayo, bila kusahau na unafuu wa bei.

Na kwa kukusaidia, suti sio vazi la kikiristo bali la wazungu. Ni wazi wazungu wengi ni wakristo hivyo kuvaa vazi hilo sana hadi kunasibishwa na ukristo. Unahitaji ufafanuzi zaidi?
Hapo we mwenyewe ndo unaona umefafanua? kwanini wewe unalibagua kanzu wakati hata yesu alikua anavaa wakati huo, halafu huwezi kutengenisha vazi la suti na ukristo maana nishaona marehemu wengi tu wakristo wakiwa kwenye sanduku wamevalishwa suti.
 
Back
Top Bottom