Nini kinaendelea? Internet ni shida na Askari wapo kila kona

Huyo Kabudi ni bonge la mjinga, mkristo kabisa anavaa kanzu na barakhashea. Mbona Mchegerwa, Kombo nk hawavai misalaba hata wakikutana na baba mtakatifu.
Huyu mtu wengi hawakumwelewa alipojieleza kuwa na sifa ya yeye "kuokotwa Jalalani"

Matendo yake yamedhihirisha pasi ya wasiwasi usahihi wa sifa hiyo kumhusu.
 
Ee Mungu mtukufu, muumba wa mbingu na ardhi twakuomba Uturehemu waja wako Watanganyika. Utusamehe pale tulipokukosea. Utusaidie kuendelea kuijenga nchi yetu nzuri uliyotupatia. Wote tuseme "Amina" kwa sauti kubwa
 

nilijua tu this fool is muslim, ndiyo maana anaongea bila ya kituo wala kufikiri …

 
Kunywa bia mzee ukiwaza sana hii nchi utakua CHIZI shauri zako....🍻🍻
 
Mhalifu na kundi lake huwajui wewe?
Samia ni mhalifu; hao mapolisi na mitutu wanalinda wahalifu.
Hili nalo mpaka uambiwe ndipo ujue?
Kanuni za saikolojia zinasema kuwa mhalifu huwa anamkimbia askari.
 
"We're coming cool"...
 

Kwenye internet hapo bonyeza #102=
 
Nishawaona viongozi kadhaa wakristo wamevaa kanzu na baraghashia kwenye hafla za waislamu.
 
Vodacom naona wamashikwa pabaya na wahuni. Internet yao kwishnei .... Ni mwendo wa Yas au Airtel ambao huko nyuma wakiburuza mkia. 😂 Mwisho wa maigizo yanajaribiwa!!. Nerd 🤓
Jana tigo/Yass iligoma internet hata websites na App za kawaida ambazo hazijafungiwa.
Nikajaribu VEEPEENNN ikafunguka.
Something wrong somewhere.
 
Kwani wewe ni mhalifu ?

Mbona unahofia sana uwepo wa Askari.

Raia wema wengi tu wapo na hawalalamiki.
Watalalamikia wapi? Kutohoji ndo unaita ni uraia wema? Dar kuna shida yaji na wasio hoji ndo raia wema sio?
 
Huyo Kabudi ni bonge la mjinga, mkristo kabisa anavaa kanzu na barakhashea. Mbona Mchegerwa, Kombo nk hawavai misalaba hata wakikutana na baba mtakatifu?
Una bifu na kanzu mkuu? mbona hata yesu alivaa na akasema ukiwa na kanzu mbili moja mpe mwenzio.
 
Tunasikia Samia yuko hospitali mahututi,au yupo mahututi kwa mganga wa kienyeji.
Kesho yake tunamuona kwenye mkutano.
Kesho kutwa yake tunasikia yuko mahututi.
She cannot decide whether she want to be sick or well.
 
Ilikuwa kutokana na hofu juu ya BAWACHA kuweza kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

Inteijensia ya Polisi ilionyesha eti Ujumbe waliokuwa nao ungeleta taharuki. ndani ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…