Hawa watu wamechanganyikiwa hawajui nini wafanye na kwa wakati gani.Ilikuwa kutokana na hofu juu ya BAWACHA kuweza kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
Inteijensia ya Polisi ilionyesha eti Ujumbe waliokuwa nao ungeleta taharuki. ndani ya CCM
Wakristo wanavaa majoho boss, sio kanzu. Ok tuache hiyo kanzu, je barakashea? Umewahi kumuona muisilamu akivaa msalaba kwenye hafla yoyote ya kikristo?Una bifu na kanzu mkuu? mbona hata yesu alivaa na akasema ukiwa na kanzu mbili moja mpe mwenzio.
Hii ndiyo mipasho anayotumia Samia na kuwafanya watu kama wewe mjione mnacho chochote cha kueleza wengine?Kanuni za saikolojia zinasema kuwa mhalifu huwa anamkimbia askari.
Pole sana Mkuu. Hawajali watu kufa, watajali wewe kukosa internet?Daah Ukitumia Internet ya Voda, JF lazima kuingia kwa VPN , hivi Voda wanashida gani aisee
Damu za Mo29 hazitowaacha salama!Serikali ya Tanzania ipo Vitani? Internet ni shida, na Askari kila kila kona
Nini kinaendelea? Wananchi tuambiwe kama TFF wameshaingia Mjini ili tusaidie kuwatafuta.
Hakuna huduma za Kijamii, zote zinayumba.. Watoa huduma kama NIDA, UHAMIAJI, TRA, RITA, Mifumo inasumbua na haisomani. Baadhi ya mitandao ya kijamii kuipata hadi utumie VPN.
Mwigulu aliyegawiwa Uwaziri Mkuu, yupo anafanya maigizo ili kuwapumbaza Wananchi. Na Samia kila anapoongea hakuna anayeelewa anaongea nini.
Je, Nchi ipo Salama? Kama Ipo Salama mvutano ni wa nini?
Kwani zile wanazovaa maaskofu wa kanisa la roma sio barakashia zile! au zinakuchanganya kwa vile wanavaa kiswaga wanabandika kichogoni fulani hivi, halafu mkuu hata waislam wanavaa majoho unalijua hilo.Wakristo wanavaa majoho boss, sio kanzu. Ok tuache hiyo kanzu, je barakashea? Umewahi kumuona muisilamu akivaa msalaba kwenye hafla yoyote ya kikristo?
Wakristo huwa wanajipendekeza kwa Waislamu.Huyo Kabudi ni bonge la mjinga, mkristo kabisa anavaa kanzu na barakhashea. Mbona Mchegerwa, Kombo nk hawavai misalaba hata wakikutana na baba mtakatifu?
Mirija ya misaada imekatwa ndo maana. Nchi ya hovyo sana halafu huko kuna mi PhD mingi imebaki tu kujaza vyoo vya ofisi ya serikali. Yenyewe inawaza kukopa tu na kuwawekea wananchi mzigo mkubwa wa madeni kulipa wakitafuna hela za umma. Hakuna chochote yanafanya .
Nenda kaweke yale majoho nje ya msikiti uone kama waisilamu watanuanua hata uuze elfu 2@Kwani zile wanazovaa maaskofu wa kanisa la roma sio barakashia zile! au zinakuchanganya kwa vile wanavaa kiswaga wanabandika kichogoni fulani hivi, halafu mkuu hata waislam wanavaa majoho unalijua hilo.
Mkuu vazi linaweza kuwa na mitindo tofauti ila jina linabaki kuwa lile lile, ndo maana kuna majoho ya maaskofu, kuna majoho ya waislam,Nenda kaweke yale majoho nje ya msikiti uone kama waisilamu watanuanua hata uuze elfu 2@
Narudia tena, kama majoho yana maana moja na kanzu, kaweke hapo msikitini uone kama watanunua. Hao wazee wa pwani wanaovaa kanzu wakati ni wakristo wengi ni kutokana na sababu kadhaa, ikiwemo jamii inayowazunguka, na upatikanaji wa mavazi hayo kirahisi katika maeneo hayo, bila kusahau na unafuu wa bei.Mkuu vazi linaweza kuwa na mitindo tofauti ila jina linabaki kuwa lile lile, ndo maana kuna majoho ya maaskofu, kuna majoho ya waislam,
kuna majoho ya mahakamani, kuna majoho ya wanachuo, pamoja na aina zote hizo ila mwishoe linabaki kuwa joho tu, mfano gauni lina mitindo ya kila aina, mtu anashona mtindo anaoutaka ila mwisho wa siku linabaki kuitwa gauni.
yesu kwenye bibilia alitaja kanzu na kuna sehemu alitaja joho ila hakusema aina ya mtindo, halafu mikoa ya pwani kuna wazee wengi tu wa kikristo wanavaa barakashia na wala kuvaa kwao barakashia hakuwafanyi kuwa waislam, mbona waislam wengi tu wanavaa suti na bado wanabaki kuwa waislam!.
Wakristo huwa wanajipendekeza kwa Waislamu.
Kama leo Wasabato waliandaa futari mahala fulani kwa ajili ya Waislamu.
Wakati huo kuna tangazo la Azam Tv linawatakia Waislamu Ramadhan Kareem ila halisemi chochote kuhusu Kwaresma ambayo nayo inaendelea sambamba na mfungo wa Ramadhani.
Hapo we mwenyewe ndo unaona umefafanua? kwanini wewe unalibagua kanzu wakati hata yesu alikua anavaa wakati huo, halafu huwezi kutengenisha vazi la suti na ukristo maana nishaona marehemu wengi tu wakristo wakiwa kwenye sanduku wamevalishwa suti.Narudia tena, kama majoho yana maana moja na kanzu, kaweke hapo msikitini uone kama watanunua. Hao wazee wa pwani wanaovaa kanzu wakati ni wakristo wengi ni kutokana na sababu kadhaa, ikiwemo jamii inayowazunguka, na upatikanaji wa mavazi hayo kirahisi katika maeneo hayo, bila kusahau na unafuu wa bei.
Na kwa kukusaidia, suti sio vazi la kikiristo bali la wazungu. Ni wazi wazungu wengi ni wakristo hivyo kuvaa vazi hilo sana hadi kunasibishwa na ukristo. Unahitaji ufafanuzi zaidi?