Tetesi: Nini kinaendelea kwa familia ya Diamond 'Dangote'?

Tetesi: Nini kinaendelea kwa familia ya Diamond 'Dangote'?

Kwanza watu wenye kupenda umbeya wa aina hii hana hata kitu home hata chakula...mpk wazunguuu wanasema use ur positive energy for something positive
 
wewe kila jambo alifanyalo na zari lazima amshirikishe mama na dada zake. Mama yake anapigwa denda na boy friend wake mbele ya Domo na domo anasheherekea tu. Yaani kwa kifupi walikuwa wanashindana nani anapiga denda vizuri zaidi ndani ya nyumba yao. Mtu una mke eti unaenda kuhamishia familia yako yote ndani ya nyumba yenu, where's the freedom? Kila mwanamke anatakiwa kuwa na mji wake ili ajitawale na kuendesha familia yake si extended family iliyojaa vituko.

Tena watu wenyewe waswahiliii
Esma ndoa imemshinda..wao kila dem kwao mbaya basi diamond awaoe wao mtu na mamake ili pesa isiende mbali...
Ma mkww ndio maza house unategenea nn
 
huenda kuna ukweli maana hata le bungeni domo kazama peke yake
 
Hiyo a/c yake ya Instagram ilikuwa na kiasi gani cha hela!
 
Hali inaonekana sio shwari kabisa kwenye family ya nguli wa music tanzania. Kimbunga kikali Kilichosababishwa na mapenzi ya wawili (zari na diamond )kinaonekana kikiipiga vilivyo familia hii na kuigawa vipande vipande. chanzo kinasemekana ni ile wolrd tour ambapo mama mkwe na mpora wake waligombana. Imefikia hatua ya bi. Sandra kushirikiana na accounts mbali mbali za wanafamilia wanaomdhihaki zarina kwa ushabiki wa hali ya juu. Za ndani zinasema wanasubiri mtoto aache kunyonya mkeka uchanwe kila mtu aelekee kwao. Inachoma kama pasi kuona penzi alilolisotea madam zari likipepea kama moto wa karatasi.
Maskini zari hana bahati ameiwa fungu la kukosa kwenye mahusiano.

Sasa sisi inatuhusu nini???
 
wewe kila jambo alifanyalo na zari lazima amshirikishe mama na dada zake. Mama yake anapigwa denda na boy friend wake mbele ya Domo na domo anasheherekea tu. Yaani kwa kifupi walikuwa wanashindana nani anapiga denda vizuri zaidi ndani ya nyumba yao. Mtu una mke eti unaenda kuhamishia familia yako yote ndani ya nyumba yenu, where's the freedom? Kila mwanamke anatakiwa kuwa na mji wake ili ajitawale na kuendesha familia yake si extended family iliyojaa vituko.

Inaonekana dai hajiamnini hata kidogo, inawezekanaje kila alifanyalo awashirikishe dada na mama yake as if sio mwanaume..

Wanaume wa aina hii inapaswa avalishwe sketi tujue moja... Mwanaume maamuzi bana!!!
 
Back
Top Bottom