mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Tena watu wenyewe waswahiliii
Esma ndoa imemshinda..wao kila dem kwao mbaya basi diamond awaoe wao mtu na mamake ili pesa isiende mbali...
Ma mkww ndio maza house unategenea nn
Domo ana shida....na yule mama anaonekana ni issue tu. Kama ulivyosema, kilichobaki ni kuoa dada zake tu maana hakuna mwanamke atakayekubali kunyanyaswa na mama mkwe na wifi wakati wao ndoa zimewashinda.