Tetesi: Nini kinaendelea kwa familia ya Diamond 'Dangote'?

mambo ya familia za watu ni confidential
 
Kwanza watu wenye kupenda umbeya wa aina hii hana hata kitu home hata chakula...mpk wazunguuu wanasema use ur positive energy for something positive
 

Tena watu wenyewe waswahiliii
Esma ndoa imemshinda..wao kila dem kwao mbaya basi diamond awaoe wao mtu na mamake ili pesa isiende mbali...
Ma mkww ndio maza house unategenea nn
 
huenda kuna ukweli maana hata le bungeni domo kazama peke yake
 
Hiyo a/c yake ya Instagram ilikuwa na kiasi gani cha hela!
 


Sasa sisi inatuhusu nini???
 

Inaonekana dai hajiamnini hata kidogo, inawezekanaje kila alifanyalo awashirikishe dada na mama yake as if sio mwanaume..

Wanaume wa aina hii inapaswa avalishwe sketi tujue moja... Mwanaume maamuzi bana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…