sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Sijui kinachosemwa ni kweli au la?
Kwanza tangu zoezi lianze liligubikwa na malalamiko mengi sana
Mfano Makalani waliokuwa wakifunzwa walilalamikia kupikiwa chakula kibichi uku wakikatwa shilingi elf 5000 Kila siku kwa ajili ya kununua chakula aliyekuwa anapika wanafunzi walipo lalamika akabadilishwa likaisha ilo.
Siku iliyofatia Kuna mwanamke mmoja ambae hakutambulika kama mnavyo jua Hali za kiafya za jinsia ya kike Huwa suala la kuingia kwenye Siku zao yupo mmoja aliingia siku zake ghafla akaenda maliwatori akadumbukiza vijikingio vyao, chooni laaaaaura choo kikaziba uwezi amini Makalani WA jinsi ya kike wote walilazimishwa kuchangia shilingi 500 piga hesabu mara Makalani 100 SAWA na sh ngap?
Kama haitoshi Sasa ya leo ndo Kali wamekusanywa Makalani wote kwa maana ya wale walio kuwa wameambiwa wapunzike waliambiwa waende wataitwa kuja kupewa vifaa vya kazi watu wapo kwao wanajiandaa, kufata vifaa Leo wameitwa wanaambiwa wanaenda lipwa posho zao kumbuka waliwaoigisha kwata na kuwapa pesa kiduchu Leo weitwa wakasaini wanafika wanaambiwa Kuna mchujo wa kazi yaani Makalani walio pewa mafunzo na kusubilo Leo walipwe wasubiri kazi Leo wanachujwa
Hii sio hujuma?
Rai Kuna changamoto ya uratibu wa zoezi Ili kuanzia ofisi ya mkurugenzi wa halimashauri na DC kwa ujumla ebu usalama na takukuru ingawa(takukuru Kilimanjaro inastaili kichapo maana wakazi wa huku hatuna Imani nayo,ebu chunguzeni mchakato wa kupatikana kwa mpishi wa kupika Makalani,njooni kwenye zoezi lote, alafu mwisho chunguzeni mchakato wa upatikanaji wa magari ya kubeba Makalani ulivyoendeshwa mtanielewa nn Nina amanisha.
Nilipoona Makinda kapewa ukamisheni nikajua hapa ni full politics tu hakuna la maana litafanyika.