Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Niko mbali kakaTwende tukapeleleze live.
Nafasi zipi tena mzee? Watoto wa mjini mna mamboNafasi bado zipo?
Huyo Chawa kilaza nae ni wa kumuamini?🚮
Bongo noma...watu wana MBISHE nyingi....Si umemuona muuza maziwa Sinza aliyedakwa na Tume ya Madawa ya Kulevya? kazi yake kuu ilikuwa anajulikana kama muuza chai ya maziwa kumbe nyuma ya pazia ni MUUZA NGADA.
Bongo watakatishaji wengi sanaBongo noma...watu wana MBISHE nyingi....Si umemuona muuza maziwa Sinza aliyedakwa na Tume ya Madawa ya Kulevya? kazi yake kuu ilikuwa anajulikana kama muuza chai ya maziwa kumbe nyuma ya pazia ni MUUZA NGADA.
Wa kutosha sana mkuu ,ndiyo maana mimi huwa sichiziki hata nikimuona mtu kwa road ana Range AutoBiography ya mwaka 2026.Bongo watakatishaji wengi sana
Kumbe jamaa anapumuliwa kisogoni 😁 Chawa wangese sana🚮Chakula cha yule tajiri wa Kinyaki aliyeporwa vyuma vyake. Weka namba uokote kmmmk ila Dar 🙌
Pesa na mali za magumashi huwa hazidumu. Kuna wanetu tuliona wamejipata, ghafla tunashangaa sasa hivi wanapiga virungu hero to zeroWa kutosha sana mkuu ,ndiyo maana mimi huwa sichiziki hata nikimuona mtu kwa road ana Range AutoBiography ya mwaka 2026.
Kuna njia nyembamba sana inayotenganisha kati ya uchawa na ushogaKumbe jamaa anapumuliwa kisogoni 😁 Chawa wangese sana🚮
Wanadai kuna mambo ya ajabu yanaendelea mule ndani wengine wanatibuliwa tope wapate mitajiKuna nini kwani