nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Pamoja na hivyo lakini kuna wanafunzi wengi huwa hawapo serious na masomointernet imekuja kurahisisha sana masomo kwahiyo madogo wanachakata maswali kwa urahisi.
Na bado madereva wanafeli intavyuu wanarudishwaCha kushangaza Qatar tunapeleka madereva na wafanyakazi wa ndani. Ni lini tutapeleka madaktari ma mainjinia wakati tuna ufaulu mzuri wa masomo?
Baraza la mitihani limeunga mkono juhudi za awamu ya 6DIVISION 1 - 61,120
DIVISION 2 - 49,385
DIVISION 3 - 14,870
DIVISION 4 NA 0 - 760
Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi huwa hawapo serious na masomo, wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, watoro, n.k.
DIVISION 1 - 61,120

CCM NI 💩💩💩DIVISION 1 - 61,120
DIVISION 2 - 49,385
DIVISION 3 - 14,870
DIVISION 4 NA 0 - 760
Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi huwa hawapo serious na masomo, wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, watoro, n.k.
Sasa kama hesabu nazo Zina majibu ya kuchagua kwanini wafeli?DIVISION 1 - 61,120
DIVISION 2 - 49,385
DIVISION 3 - 14,870
DIVISION 4 NA 0 - 760
Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.