Kuna kitu hakiko sawa mahali mimi naamini kwenye kufaulu ,ufaulu mgumu kuupata ni ile highest score na lowest score ingekuwa division tuseme division 1 na division 0
Kwenye matokeo ya mwaka huu na umeyawasilisha hapo juu wanafunzi wengi wamefaulu division 1 ila tukisema tunaambiwa tuna wivi wacha tuwape kongole vijana