Ufaulu wa mama.DIVISION 1 - 61,120
DIVISION 2 - 49,385
DIVISION 3 - 14,870
DIVISION 4 NA 0 - 760
Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
Huko Qatar asilimia tisini ya madereva walioteka nchi ya Samia wamerudishwa hawawezi truck za kisasa na hata manual zake hawawezi kusoma sababu nchi hii kiingereza ni janga, heri kijana wa Darasa la nne Kenya, Uganda na Malawi kuliko first year wa chuo kikuu chochote cha Samiastan.Cha kushangaza Qatar tunapeleka madereva na wafanyakazi wa ndani. Ni lini tutapeleka madaktari ma mainjinia wakati tuna ufaulu mzuri wa masomo?
Sidhani kama anataka hilo,isipokuwa anajaribu kuhoji uhalali wa huo ufauluSasa mzee unataka watu wafeli ili ufurahi au vp
Hao hata wakimaliza chuo hawaajiriki kimataifa uwezo wao hua ni mdogo sana.Cha kushangaza Qatar tunapeleka madereva na wafanyakazi wa ndani. Ni lini tutapeleka madaktari ma mainjinia wakati tuna ufaulu mzuri wa masomo?