Nini kinaendelea Uhamiaji mpaka kupata passport iwe vigumu?

Nini kinaendelea Uhamiaji mpaka kupata passport iwe vigumu?

Nchi nyingi zenye siasa za kijamaa Kuna kuwa na bureaucratic systems ambapo kupata hiyo hati ni kamzozo.....
Ukitaka passport kupata kwa mbinde.

Ukiagiza gari Japan ushuru wake ni sawa na bei uliyonunulia.

Ukisema uandamane kupinga uonevu huo unapigwa risasi.

Kwa nini tz isiwe nchi yenye wananchi wasiokuwa na furaha?
 
Wala hata sio ya ishu mi suala la kimfumo unaambiwa
Hapo ni makao makuu ya rushwa bila hivyo utasubiri sana! Halafu hawanaga hata wasiwasi yaani unapigwa kalenda mpaka utamani kurusha ngumi!!
 
Ukitaka passport kupata kwa mbinde.

Ukiagiza gari Japan ushuru wake ni sawa na bei uliyonunulia.

Ukisema uandamane kupinga uonevu huo unapigwa risasi.

Kwa nini tz isiwe nchi yenye wananchi wasiokuwa na furaha?
Welcome to pasific islands kuishi tu
 
Back
Top Bottom