Nini kinaendelea Uhamiaji mpaka kupata passport iwe vigumu?

Nini kinaendelea Uhamiaji mpaka kupata passport iwe vigumu?

Inasikitisha sana

muslims wa tanzagiza wakiwa in power incompetency, nepotism, corruption, wizi na dhuluma kila mahali, nothing works, sasa hivi hakuna taasisi yoyote inayofanya kazi si maji, umeme, tanroads ilikuwa ni sucess story leo hii wameshaua sasa hivi hakuna barabara zinazojengwa wala kukarabatiwa, miundo mbinu yote inabomoka kwa kasi ya ajabu lkn they talk big sasa hivi wanaongelea kujenga mji mpya sinza na bunguruni wakati hata vitu simple tu kama huduma kwa jamii ambapo ni jukumu la serikali hawawezi kufanya shida na vilio tu ila mahali.

cag katoa ripoti kwa raisi kaishia kusema wahusika wazomewe ili waone aibu imeisha hiyo wakati nchi ina mifumo yote ya kudili na watu ambao wametajwa kwenye ripoti ya cag kuhusika na ubadhirifu ni swala la uamuzi tu lkn hataki na imeisha hiyo mpaka mwakani next report repeat, ikumbukwe cag katumia mabilioni ya tay payers money kufanya kazi mwaka mzima, kila kitu kwao ni mzaha na michezo wanakwambia kazi na bata ...
 
muslims wa tanzagiza wakiwa in power incompetency, nepotism, corruption, wizi na dhuluma kila mahali, nothing works, sasa hivi hakuna taasisi yoyote inayofanya kazi si maji, umeme, huduma kwa jamii zote shida tu ila mahali.
cag katoa ripoti kwa raisi kaishia kusema wahusika wazomewe ili waone aibu imeisha hiyo mpaka mwaka next report repeat, ikumbukwe cag katumia mabilioni ya tay payers money kufanya kazi mwaka mzima ...
Huna akili , you're Scumbabag fanatical and religious Extrimist .

Kuna utawala unekosa dosari nchini kila mtu alikuwa anafurahi ?

Katiba mbovu na mifumo mibovu nchini muasisi ni nani ?
 
Huna akili , you're Scumbabag fanatical and religious Extrimist .

Kuna utawala unekosa dosari nchini kila mtu alikuwa anafurahi ?

Katiba mbovu na mifumo mibovu nchini muasisi ni nani ?

unajua kwamba wameua tanroads? ...
 
Hapo bila rushwa au kuleta ‘mbinde’ hutoboi.
Mimi niliwawashia moto hapo uhamiaji nikaipata passport yangu ndani ya masaa 6 hapo nilikua nimeshajaza application yangu online zaidi ya mwezi, ila mazingira ya rushwa niliyaona wazi wazi
 
Siku nyingine jitahidi urushe ngumi usikae kinyonge
 
Back
Top Bottom