ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Penye udhia penyeza rupia, hiyo ndiyo idara inayoongoza kwa corruption TZ.Mtu mmoja anipe sababu, kwanini watu hawapati passport?
Pia soma
- KERO - Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao
Wewe umejaribu ?Mtu mmoja anipe sababu, kwanini watu hawapati passport?
Pia soma
- KERO - Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao
Ukitaka passport kupata kwa mbinde.Nchi nyingi zenye siasa za kijamaa Kuna kuwa na bureaucratic systems ambapo kupata hiyo hati ni kamzozo.....
Mkuu mimi sio tu ninayo niko nje muda mrefu tu sasa ila kuna rafiki anashindwa kuja kwa sababu hio..jibu wanalompa mi kwamba system collapse yaani simple kama hivyoWewe umejaribu ?
Hapo ni makao makuu ya rushwa bila hivyo utasubiri sana! Halafu hawanaga hata wasiwasi yaani unapigwa kalenda mpaka utamani kurusha ngumi!!
Welcome to pasific islands kuishi tuUkitaka passport kupata kwa mbinde.
Ukiagiza gari Japan ushuru wake ni sawa na bei uliyonunulia.
Ukisema uandamane kupinga uonevu huo unapigwa risasi.
Kwa nini tz isiwe nchi yenye wananchi wasiokuwa na furaha?
Aiseee bora umetoa dukuduku mdogo wangu toka mwaka jana mwezi wa kumi mpaka leo hajapata🙌🙌🙌🙌Mtu mmoja anipe sababu, kwanini watu hawapati passport?
Pia soma
- KERO - Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao
Nenda na Shati la mikono mirefu chap kwa haraka ndani ya 48 hrs unapata MKOBA.Mtu mmoja anipe sababu, kwanini watu hawapati passport?
Pia soma
- KERO - Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao
Tatizo vijana wanataka mambo mazuri halafu MKONO WA BIRIKA......Kitu cha kupata ndani ya 24hrs wao wanambwelambwela kisa ubahili.Penye uzia penyeza rupia...
Tatizo CCM
That's the painful truth, yaani wanafanya daylight robbery bila haya wala kupepesa macho.Nenda na Shati la mikono mirefu chap kwa haraka ndani ya 48 hrs unapata MKOBA.