Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Baada ya hukumu ya mahakama ya rufani kuruhusu Chadema iweze kufanya siasa zake hapo ndipo mambo yamejidhihirisha wazi kuwa Chadema ina kubalika na ina nguvu.
Mikoa yote ya Tazania bara ilikuwa ni shangwe na nderemo.
Swali kubwa la kujiuliza ni kwa nini Chadema inazidi kupata nguvu ikiwa inawekiwa vizingiti vya kila namna na CCM?