Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

Shamba la bibi lililojipambanua katika misingi ya Sheria na haki......

Kwenye Sheria mnalijua

Kwenye haki linajulika(elimu,..............)

Rais anaweza akawa mzamiaji ilimradi malengo ni kulinda urithi wa Dunia ,hawana shida nae ......
 
Wamejikita zaidi kwenye Kuendeleza Ujuzi na Elimu kwa Raia wake.
Hawa jamaa wananishangaza sana ukiwa mvivu utakufa na ujinga wako, ila ukiwa mpambanaji kutoboa kupo wazi, makampuni binafsi yanatoa bonasi kwa watendaje wake, ukiwa mbunifu unabewa share kwenye kampuni yako. Hawa jamaa noma.
 
Naomba kudadisi wataalamu mbalimbali watujuze nini kinafanya taifa hili kufanya vizuri katika section zake hadi kupelekea kuwa taifa kubwa na imara. Taifa hili la kibeberu limepiga hatua kubwa sana katika mambo yake, elimu, sanaa, technolojia, jeshi, huduma za kijamii kama afya mpaka dhambi taifa hili linaongoza.

Nini kipo nyuma ya hili taifa la kibeberu, watu wake, geografia, uchawi, mungu au nini. Taifa hili linaongoza kuchukiwa ni vitaifa vidogo maana huvishushia laana zake na kuviacha vikilia. Kinachonichosha ni namna ambayo sector binafsi inanguvu sana huko, mpaka kuwa na makampuni binafsi yanayotengeza silaha.

Pesa yake ina nguvu sana kiasi cha kutumiwa na mataifa mengi katika biashara zao za kimataifa. Na ushamba wangu nimekuta dola ikitumika huko Congo DRC nikabaki najiuliza why? Wataalamu nisaidieni.

Kumekuwa na mjadala kuwa mataifa pinzani yanataka kuongusha matumizi ya hii sarafu, je, wataweza? Je, ni kweli vitaifa dagaa vinalazimishwa kutumia hii sarafu au lah! Wajuvi tusaidieni wenye kupenda kuelimika na kujifunza.
Siri ni moja tu anaisaidia, kuitetea, kuibariki na kuilinda Israel. Siku akija kuacha kufanya hivyo ndo itakua anguko la Marekani.
 
Swali limeuliza Marekani na mimi nimejibu kulingana na swali.
Nyie anti-west mna matatizo gani?! Inaongelewa US wewe unaileta China, zikiongelewa Urusi au China mnaileta US au West!
Na Nini Siri ya chini kufanikiwa,2nd largest economy in the world after US!Tena China kaibuka miaka ya karibuni!Sababu ni Nini?Nijuze!
 
Kuna mahali nimesema zinafanana?!
Kwa hiyo ulitaka nijibu sababu za China kufanikiwa wakati swali linahusu Marekani?!
Kuna tafsiri nyingine ya kiherehere zaidi ya hiyo?
Nilitaka huyo mtu ajue sababu za kufanikiwa hazifanani!
 
Kuna mkono Wa Mungu umempa uwezo , duniani hapa lazima awepo kiongozi , Marekani ameiongoza vizur hii dunia kwa kudumisha uhuru, tofaut na wengine walipewa mamlaka wakaishia kuwa wababe akina Napoleon wa ufaransa , akina Hitler wa ujeruman , walidumbukiza Dunia kwenye machafuko wakanyang'anywa
Ahaa. Mmesahau ya Iraq?
 
Naomba kudadisi wataalamu mbalimbali watujuze nini kinafanya taifa hili kufanya vizuri katika section zake hadi kupelekea kuwa taifa kubwa na imara. Taifa hili la kibeberu limepiga hatua kubwa sana katika mambo yake, elimu, sanaa, technolojia, jeshi, huduma za kijamii kama afya mpaka dhambi taifa hili linaongoza.

Nini kipo nyuma ya hili taifa la kibeberu, watu wake, geografia, uchawi, mungu au nini. Taifa hili linaongoza kuchukiwa ni vitaifa vidogo maana huvishushia laana zake na kuviacha vikilia. Kinachonichosha ni namna ambayo sector binafsi inanguvu sana huko, mpaka kuwa na makampuni binafsi yanayotengeza silaha.

Pesa yake ina nguvu sana kiasi cha kutumiwa na mataifa mengi katika biashara zao za kimataifa. Na ushamba wangu nimekuta dola ikitumika huko Congo DRC nikabaki najiuliza why? Wataalamu nisaidieni.

Kumekuwa na mjadala kuwa mataifa pinzani yanataka kuongusha matumizi ya hii sarafu, je, wataweza? Je, ni kweli vitaifa dagaa vinalazimishwa kutumia hii sarafu au lah! Wajuvi tusaidieni wenye kupenda kuelimika na kujifunza.
Hategemei kuuza ili Ale!
Anajitosheleza....
 
Kinachofanya Marekani kuwa imara ni wizi wa kuchapisha makaratasi yake na kuja kubadilishana na rasilimali za sehemu mbalimbali duniani.

Kingine ni ujanjaujanja wa kuvamia mataifa dhaifu na kupora rasilimali kwa nguvu
kwanini nyiny msichapishe halaf mkanunue vitu huko kwa majiran zenu
 
Fatilia hatua alizochukua China 1978 na kupelekea uchumi wake kuwa hapa ulipo Leo!
Nways nimegusia hilo Ili kuweka sawa kuwa sababu za mafanikio haziwezi kuwa sawa!
Usilazimishe watu tufikiri ndani ya box!
mafanikio hayana njia tofauti njia ni zile zile ila mfumo wa kuziishi hizo njia ndo tofauti NAJUA HUJAELEWA
 
Kwa hiyo marekani sio wababe na hawa kandamizi wala kuvamia nchi zingine na ni watakatifu kabisaaaaa eti na kwenye uhuru mi nakubala maana kule wamepitisha sheria ni ruksa wanaume kupakuana choo wanawake kwa wanawake kusagana si ndio bwasheee...
kwenye uhuru wote umeona kipengele cha ushoga ndo muhimu kwako ? hiz tabia zipo kichwan mwako
 
Back
Top Bottom