Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

Swali limeuliza Marekani na mimi nimejibu kulingana na swali.
Nyie anti-west mna matatizo gani?! Inaongelewa US wewe unaileta China, zikiongelewa Urusi au China mnaileta US au West!
hao ni vichaa wasiojijua
 
Kuna mahali nimesema zinafanana?!
Kwa hiyo ulitaka nijibu sababu za China kufanikiwa wakati swali linahusu Marekani?!
Kuna tafsiri nyingine ya kiherehere zaidi ya hiyo?
hao ni vichaa wasio jitambua , ukizungmzia China wao wanaitaja USA ila kwa USA ndo wanaitaja China
 
Kinachofanya Marekani kuwa imara ni wizi wa kuchapisha makaratasi yake na kuja kubadilishana na rasilimali za sehemu mbalimbali duniani.

Kingine ni ujanjaujanja wa kuvamia mataifa dhaifu na kupora rasilimali kwa nguvu
Kinachofanywa na serikali yetu uoni kabs drama za pesa inavyochezewa bado unalia na mmarekani utakuwa na matatizo ya akili we nadhani unavaa nguo za kijani mpo kimaslai zaid alafu mnatafuta mchawi nani
 
Kuchapisha makaratasi halafu yanakubalika kama sarafu ya dunia.Siku ikitokea sarafu shindani watayumba sana.
Sarafu haiwez yumbisha marekani achana na stori za vijiweni kwenye uchumi tunaangalia cha kwanza gdp hilo ndo la muhimu kuliko yote na ndo maana data za ukuaji wa gdp zinaangiliwa sana kuliko kitu chochote kile
 
Back
Top Bottom