Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

Hapo ni vitu viwili tu ambapo kimoja kinazalishwa ndani ya kimoja ubongo na ufahamu hivi ndo mtu husika
 

The real "YOU" imejengwa na fikra zako, mawazo yako au idea zako. Wewe ni nafsi iliyo hai na nafsi hiyo imejengwa na vitu hivyo nilivyovitaja. However,kuwa mwangalifu kuweza kuabaini kuwa fikra au mawazo sio NAFSI, ila ni constituents za nafsi, kwamba nafsi inaweza ikaendelea kuwepo pasipo fikra au mawzao ila tu ni kwamba itakuwa ni nafsi ambayo imekufa. Kuna mtumishi wa Mungu weekend hii nimemsikiliza Channel Ten akifundisha Kanisani kuwa mawazo au fikra ndiyo nafsi, hapana hakuwa sahihi sana kwa hili, ila hivi ni vitu ambavyo vinajenga nafsi ILIYO HAI, na vikikosekana, bado nafsi inaendelea kuwepo ila inakuwa ni NAFSI ILIYOKUFA, si nafsi hai tena. Mbarikiwe na Bwanaever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…