Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,400
- 7,254
Nauliza kutokana na experience niliyiipata kwa mtoto wangu. Mwanzoni alipokuwa mdogo (Chini ya 2yrs) alikua Hana hiyo Tabia..but alipofika 2yr ndo akaanzisha hiyo Tabia. Ilifikia wakati Hadi anagombana na mama yake na kuamua kuachackumnyonyesha.
Nini chanzo Cha hii kitu wadau.
Nini chanzo Cha hii kitu wadau.