Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,400 Reaction score 7,254 Jun 11, 2020 #1 Nauliza kutokana na experience niliyiipata kwa mtoto wangu. Mwanzoni alipokuwa mdogo (Chini ya 2yrs) alikua Hana hiyo Tabia..but alipofika 2yr ndo akaanzisha hiyo Tabia. Ilifikia wakati Hadi anagombana na mama yake na kuamua kuachackumnyonyesha. Nini chanzo Cha hii kitu wadau.
Nauliza kutokana na experience niliyiipata kwa mtoto wangu. Mwanzoni alipokuwa mdogo (Chini ya 2yrs) alikua Hana hiyo Tabia..but alipofika 2yr ndo akaanzisha hiyo Tabia. Ilifikia wakati Hadi anagombana na mama yake na kuamua kuachackumnyonyesha. Nini chanzo Cha hii kitu wadau.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 26,224 Reaction score 71,873 Jun 11, 2020 #2 Meno yanapoota inasemekana gego huwawasha sana hicho ndicho hupelekea watung'ate wakati wa kunyonya,, Huyo wako Ni mkubwa miaka 2 inatosha kuacha ziwa, hongera kwa mkeo kunyonyesha muda wote huo
Meno yanapoota inasemekana gego huwawasha sana hicho ndicho hupelekea watung'ate wakati wa kunyonya,, Huyo wako Ni mkubwa miaka 2 inatosha kuacha ziwa, hongera kwa mkeo kunyonyesha muda wote huo