Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!
Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner