Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Ni mbinu nzuri ya kuepusha mwili kuwaka tamaa. Imani zinazokuepusha na uzinzi ukizifanyia kazi vizuri kupitia maandiko utaepukana na mengi.

Sio kama mimi akipita tu najikuta nafanya ukaguzi hata kwa kuibia sasa ukiendekeza unajikuta umesema habari yako? Then kifuatacho ndani ya masaa 72 na kuendelea ni matokeo ya kupuuza Ayubu 31:1
Kweli mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hahahaaaa
madanguro ndio wanachanyikiwa kabisa! unajua ukionja sukari lazima hamu ya kurudia ije tena!
Na ndo maana madanguro yapo wazi wasaa 24, warudie kiasi wanaweza. Hivi unajua ukifa kwa UPWIRU kinaenda kukukuta nini huko kuzimu?
 
Hii part ya chuchu, hua nachanganyikiwa haswaaaa
Ukikite ki teenager kimevaa sketi fupi na shati bila bra ala chuchu zipo pale zinakunyooshea vidole.. Aisee bora tupate ukimwi tu, vitu sio vya kuviacha kabisaa, tena kwa gharama youote
 
Na ndo maana madanguro yapo wazi wasaa 24, warudie kiasi wanaweza. Hivi unajua ukifa kwa UPWIRU kinaenda kukukuta nini huko kuzimu?
Mh! inategemeana, ulikuwa na mawazo gani? maana ukiwaza tu tayari shetani anakulamba...
 
"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!


Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!

Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Naomba nikurudishe nyuma kidogo,hapa anasema msichana unayesema mzuri.Je unakumbuka Enzi yako au yenu ya kabla ya uGenz au wakati wa UGenz vipi pale ulipopishana na uliowaita ama mliowaita polygon?
 
Mzuri huwa sigeuki, ila mwenye nyash huwa nageuka huku najiuliza huwa wakifaga wanampa nani why majeneza yote yapo sawaaa🤔
 
Back
Top Bottom