Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Aise realMamy unapopita karibu yangu usiwe na kasi maana vile unavyopita kwa kasi ndivyo mimi pia hugeuza shingo yangu kwa kasi kiasi cha kukaribia kuivunja.
 
Ukikite ki teenager kimevaa sketi fupi na shati bila bra ala chuchu zipo pale zinakunyooshea vidole.. Aisee bora tupate ukimwi tu, vitu sio vya kuviacha kabisaa, tena kwa gharama youote
Yani hapa labda uwe na mental health, usipo hisi chochote!
 
Kama ni cheupe tu masala galegaya akinipita nageuka
Mimi nikipishananaye tu, chapu na haraka naanza
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa kitu, huku unachungulia kama umekanyaga ka mwiba nyuma kumbe unavunga tu!
 
Naomba nikurudishe nyuma kidogo,hapa anasema msichana unayesema mzuri.Je unakumbuka Enzi yako au yenu ya kabla ya uGenz au wakati wa UGenz vipi pale ulipopishana na uliowaita ama mliowaita polygon?
Mkuu mimi ni little boy! sijakuelewa unazungumzia miaka ipi?
 
Back
Top Bottom