wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Sikupingi mkuuMakebo kwangu ni dawa.
Sikupingi mkuuMakebo kwangu ni dawa.
Na usipogeuka ujue wewe sio rijali"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!
Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Huo mtandao ni ubatili. Ubatili mtupu 😂Ng'ombe wewe.. ingia wowne.ws uendelee kupiga nyeto, ukimaliza ndo urudi tena..🤣🤣🤣
NB: Huo mtandao unaingia bila VPN. Kazi kwako.
Muda wote huo umekaa kimya, kweli ni ubatili mtupu🤣🤣🤣Huo mtandao ni ubatili. Ubatili mtupu 😂
Ukitaka madini njoo PMHuo mtandao ni ubatili. Ubatili mtupu 😂
Huko nyuma kwa kweli mkuu panatisha, lazima uone yaliyomo yamo kwenye storage fatKuconfirm kama tako la haja. Coz unakuta sura ya uso ni baba dan saut n ya wema spatu tembea n ya binti maringo sasa ili kujua kama ni liz lazma uangalie what her mama gave her to shake. Leo sijapga nyago.
Mweshimiwa sana hapa Ayubu 31:1 haimaanishi “usimwangalie mwanamke kabisa.” Hoja ya Ayubu ni kuhusu nidhamu ya macho na moyo, hasa kutokuruhusu kumwangalia mwanamke kwa tamaa au kumgeuza kuwa kitu cha kutamaniwa. Kwa hiyo kuna tofauti kati ya:
Na kuhusu binti zake kuwa wazuri, hilo halipingani na mstari huo. Ayubu hakusema uzuri wa mwanamke ni tatizo; alizungumzia mwenendo wake mwenyewe wa macho. Kwa hiyo huyo
- Kumwona mtu — jambo la kawaida, huwezi kutembea mjini ukiwa umefumba macho.
- Kumwangalia kwa makusudi kwa tamaa — hapo ndipo Ayubu anaweka mpaka.
- Kumwona msichana mzuri na kutambua kwamba ni mzuri — si sawa moja kwa moja na kufanya dhambi.
- Kuendeleza kumkodolea macho na kujenga tamaa moyoni — hapo ndipo suala la Ayubu 31:1 linakuwa na uzito.
Kiasi kwenye kuangalia?Kila kitu kwa kiasi mkuu!
Kwamba akiangaliwa anaumia wapi?Eh! au unataka mpaka uambiwe "we kaka unaniangalia mbona hunijui?"
Sina cha kuangalia yaan nilivyovitaka vyote kwa wanawake nilishavipata na nilivitaka kwa pupa yaan size zote nimepita kuanzia xl mpaka xxxl kwa hio sina cha kuangalia hakuna jipya yote ni yaleyale tu.Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Uko vizuri mkuu keep it up!!!Sina cha kuangalia yaan nilivyovitaka vyote kwa wanawake nilishavipata na nilivitaka kwa pupa yaan size zote nimepita kuanzia xl mpaka xxxl kwa hio sina cha kuangalia hakuna jipya yote ni yaleyale tu