Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Na Ile mtu anatokea kwa nyuma akikupita anageuka kukuangalia na kwa mbele anakua na maana gani
 
"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!

Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!

Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Mtrako
 
Mwili hauna mpango wa kuingia mbinguni siku zote mwili hushindana na roho ambayo i radhi kufuata ya Mungu, hivyo basi naamin mwanaume anayetaka kuwa katika hali nzuri ya roho yake hawezi uchekea mwili kwa kumwangalia mwanamke muda mrefu maana wahenga walisema safari moja huanzisha nyingine. Na pia itakuwa kama Daudi alipomwangalia Bathsheba tu mwili wake ukawaka tamaa na akaishia kutembea na mke wa mtu na kumuua mume wa Bathsheba kwa nini ilitokea hivyo kosa Daudi alimtazama Bathsheba kiasi cha kuwaka tamaa za mwili. Kwa hiyo ili mwanaume kuwa salama basi usitazame mwaname muda mrefu au acha kabisaa kwa kuyakwepesha macho yako
 
Kweli mkuu, ni jambo dogo tu! ila ikiwa tabia unaweza kuwaka tamaa ukaikosa mbingu!
 
Back
Top Bottom