Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Acha utoto sasa kama unataka kuwa mwanasayansiHahahahaaaaaa
mkuu wanascience hatunaga aibu lazimu tujue jinsi nature inavyofanya kazi.
Gen -z.
Acha utoto sasa kama unataka kuwa mwanasayansiHahahahaaaaaa
mkuu wanascience hatunaga aibu lazimu tujue jinsi nature inavyofanya kazi.
Gen -z.
Wezere Wezere Wezere."Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!
Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Kuwa makini, lisije likakukosesha mkuu
ndiyo maana wanaume wengine wataachwa na kukosa unyakuo kwa kutazama wanawake kwa tamaa maana wao wanaona jambo dogoKweli mkuu, ni jambo dogo tu! ila ikiwa tabia unaweza kuwaka tamaa ukaikosa mbingu!
Kwa jamii ya sasa, kila kitu kinapush sex mitandao, mtaani, tamthilia hadi kanisan unakutana na sare za waimbaji zinakuchanganya tena!ndiyo maana wanaume wengine wataachwa na kukosa unyakuo kwa kutazama wanawake kwa tamaa maana wao wanaona jambo dogo
how comes at twenty ukajua they have fat container behind my friend. U need prayersHuko nyuma kwa kweli mkuu panatisha, lazima uone yaliyomo yamo kwenye storage fat
jana sadaka ulitoa sh ngapi kiongoziHahahahaaaa kipindi bado niko misri mkuu! , but now YESU amenipokea kama mtoto wake! so, japokuwa historia haiwezi kufutika ya mambo ya nyuma!
Inahitaji moyo mkuu,Hiyo kitu ilishanishinda aisee, nahakikisha anavyokujakwa mbele niwe nmeshamwangalia vya kutosha. Kwa kuwa nmeshakutana na shape za aina nying basi kwa mwonekano wa mbele tu namkadiria kichwani na nyuma yupo vipi hivyo najizuia kugeuka hasa nikiwa mtaani
Kuziangalia haziishi hamuTentemente! ni ubatili mtupu!
Kuangalia tu tayariHahahaaaa angalia kiustarabu ila usizini, maana tutatoa hesabu siku ya hukumu!