Sketi/gauni fupi, umbo jembamba lenye kichungi, akivaa suruali ni thigh gap.. Tofauti na hapo sigeuki"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!
Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Miguu tu, mdada mwenye miguu fito hata nikipishana naye naona ananimalizia oxygen tu"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake, walikuwa wazuri usoni pa nchi kuliko wengine...!
Wakuu...
Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Cc: Matunzo 02, Equation x Mopak de Gunner
Mimi najua uzuri, upo mbele? nyuma sini kuangalia makebo tu! au kuna kingine mkuu!Kipindi bado kijana, hii hali ilikuwa inanisumbua sana, kwangu mimi the real view huwa ipo nyuma, mbele utaangaliana na mamekapu na makope ya kubandika tu.
Ndio maana nikasema "kwangu mimi" sijaongelea mtu mwingine hapo, nimejiongelea mimi binafsi.Mimi najua uzuri, upo mbele? nyuma sini kuangalia makebo tu! au kuna kingine mkuu!
soma mstari wa ubungo 4:9 utapata jibu la swali lakomkuu Unamaanisha? wenye vichwa vikubwa ndo wanageuka nyuma?
Macho yakishavutiwa ubongo ukatafsiri kazi ya shingo ni ndogo sana mkuu!Mbona kuna wengine, hata mood ya kugeuka tu haupati mkuu! Ila wengine sasa eh... Ni kama sumaku kuvuta chuma ina force tu!
Mimi.........Nini kinakufanya ugeuke nyuma, unapopishana na mdada mzuri?
Binafsi hua najitahidi kumwangalia mbele tu! Tukipishana nae tu najikaza zangu tu! Naimba Zaburi 23 mambo mengine yanaendelea!
Nguo inaweza ikawa fupi lakini miguu kama miche ya kinu sigeuki, demu mnene hajawahi kunigeuza hata akiwa uchi, kichungi kinavokuja ukikiangalia mapaja tuu unajua nyuma kimekaaje hapo lazima hugeuke.Duh! sasa mkuu ukiwa mjini au kwa wazungu siutaumia shingo? maana huko ndo style zao!