Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Wewe nimeikibali sana hii strategy Sema tayari Nimeisha kuwa na identity humu. Ningeitumia kabisa.

Unaonesha weakness, demu anachukulia wa kawaida, alaf ukipewa unakula na kukomba kabisa
Huwa nafanya utani tu wa babu na wajukuu, hakuna zaidi Mkuu

Si unajua tumekula chumvi nyingi kwa uzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…