Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Sasa hapo huoni kua nyie ndio mlikua wa moto kwa umalayer ?

Usiamini sana comment mkuu watu sio ma fala
Hatuwezi kua serious mda wote

Siku hizi ndio umalaya umeongezeka mara dufu, longtime kupata demu ilikuwa kazi sana. Siamini comment, naongea hali halisi kitaani.
 
harufu kali ya feri inayotoka kwenye samaki yenyewe na kwenye mfreji wa maji taka hua ni changamoto kubwa mno ya kukata stimu katika harakati za kufikia kilele cha mafanikio ya unyanduzi kwa furaha na bila karaha,

but kibabe na kwa mbinde zaidi tunaweza kuhitimisha round na kisha kusingizia dharura ili kutoa majeshi kutoka kwenye uwanja wa vita bila taharuki au kumkwaza muhusika. Huwezi jua anaweza kukusitiri tena mbeleni.

kuna mikao ya kijuba hua inachochea na kupandisha mizuka mno, kiasi kwamba hupelekea baadhi ya midume yenye changamoto za kiafya kupoteza hata maisha kabisa.Nitaitaja wakati muafaka πŸ’
 
harufu kali ya feri inayotoka kwenye samaki yenyewe na kwenye mfreji wa maji taka hua ni changamoto kubwa mno kukata stimu katika harakati za kufikia kilele cha mafanikio ya unyanduzi kwa furaha na bila karaha,
Hehehe 🀣🀣🀣 ilikuta wapi hii mdau
but kibabe na kwa mbinde zaidi tunaweza kuhitimisha round na kisha kusingizia dharura ili kutoa majeshi kutoka kwenye uwanja wa vita bila taharuki au kumkwaza muhusika. Huwezi jua anaweza kukusitiri tena mbeleni.
Sijui nacheka nini Unaweka akiba ya maneno 🀣🀣🀣
kuna mikao ya kijuba hua inachochea na kupandisha mizuka mno, kiasi kwamba hupelekea baadhi ya midume yenye changamoto za kiafya kupoteza hata maisha kabisa.Nitaitaja wakati muafaka πŸ’
Mda wa kupakua minyama πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…