Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Bhna niacheni hata wewe ungeishiwa power 🤣🤣
Aaaahh..!! Mi kuna mteja atanifanya niache misimamo yangu.!!

Huyu mkaka mwanamke yeyote kuchomoka ngumu. Mama wa huyu kijana alizaa 😍

Natamani nimpost umuone nyie kuna wakaka hapana, 🙌
Haiwezekani liwe na sifa zote 😹😹😹

Yaani hapa nipo sitaki nataka. Ego zimenijaa nilishamkataa lakini leo nimemuona tena mwenyewe nimekubali amenifanya kazi ziwe ngumu..!! 😥

Haki tena huyu nampa 🥰
 
Aaaahh..!! Mi kuna mteja atanifanya niache misimamo yangu.!!
Acha basii mahi
Huyu mkaka mwanamke yeyote kuchomoka ngumu. Mama wa huyu kijana alizaa 😍
Bismillah MashaAllah
Natamani nimpost umuone nyie kuna wakaka hapana, 🙌
Haiwezekani liwe na sifa zote 😹😹😹
Naomba nimuone diha😋
Yaani hapa nipo sitaki nataka. Ego zimenijaa nilishamkataa lakini leo nimemuona tena mwenyewe nimekubali amenifanya kazi ziwe ngumu..!! 😥

Haki tena huyu nampa 🥰
Nasemaaa mpeee ukimpea unaempenda utakojoa mpaka Zambi
Mpe please 😉
 
Acha basii mahi
Wewe huyu mkaka nimenyoosha mikono mahi..!! Yani baada ya muda mrefu hatimaye leo nimeona aibu kugonganisha macho na mwanaume..!! 🥰
Naomba nimuone diha😋
Weeh.!! Ngoja nitakuita selfika umuone.
Yani hata camera naona haimtendei haki kabisaa..!! Wewe huyu kaka ana balaa hapa sielewi..!!
 
Wewe huyu mkaka nimenyoosha mikono mahi..!! Yani baada ya muda mrefu hatimaye leo nimeona aibu kugonganisha macho na mwanaume..!! 🥰
Hapa nina imagination kibao kwa kicwaa
Weeh.!! Ngoja nitakuita selfika umuone.
Yani hata camera naona haimtendei haki kabisaa..!!
fanya hivyo nimpogie ny....o 😂😂
Wewe huyu kaka ana balaa hapa sielewi..!!
Heb mkubari we naye unakeraaa aghaaa
 
Heb mkubari we naye unakeraaa aghaaa
😹😹😹 Ngoja kwanza, ujue mimi nikikipenda kitu ghafla sichelewi kukichukia..!!

Hapa nimeenda kwenye ig yake tayari nishaanza kukasirika wadada wameeka emoji za ❤️ nyingi..!! 😹😹😹
 
Back
Top Bottom