TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Tatizo la vijana wa mbogamboga hamna standards ndio maana mnakutana na vitu vya kuvunda ,weka standards uone kama utakutana na hizo shombo,sasa unajinyakulia wanachama wenzako wamejichokea na maisha ,wanalala kamo ng'ombe,wapowapo tu.SET YOUR OWN STANDARDS ON EVERYTHING.ni stori fupi sana for another day,
but,
mwanaume ambae hajawahi kukutana na changamoto hiyo bado hajazaliwa š

