MtuHabari
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 321
- 1,019
Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi.
Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa kampeni za uchaguzi zikiendelea huku viongozi mbalimbali wa serikali, vyama, dini na hata wanadiplomasia wakisisitiza amani huyu kijana ameonekana akiendelea kutoa matamshi hatari ikiwa pia na kusema hata Lissu anaweza kupigwa sindano ya sumu akiwaletea za kuleta.
Nini kinampa kiburi hadi watu washindwe kuchukua hatua dhidi yake hata ndani ya CCM ambao nadhani matamshi hayo hawayapendi kwani kiburi hicho ndio kinacho sababisha wanatupwa mkono na wananchi.
Ni kweli ni huo undugu pekee na Magufuli ndio adili ya kiburi na pia chama kushindwa kimdhibiti?
Mbona wanajimaliza?