Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Kwahiyo majina yakifanana na lazima muwe ndugu ? Acha ufala wew
Hao wawili wa mwanzo, siyo kwamba majina yanafanana, bali ni ndugu wa damu. Ni watoto wa dada yake. Mayanga ni jamaa yake kwa sababu wameoa nyumba moja. Usipende kutukana, jibu hoja. Ndivyo wenye akili timamu wanavyofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awekwe kwenye listi Hawa watu sehemu yao sahihi ni kuishi jela na sio Jamii, apigwe totally ban ya kukanyaga ulaya na usa Hawa ndio uzalishaji wakimbizi duniani kwa kauli zao chochevu
 

Attachments

  • Screenshot_20201019_072525.jpg
    Screenshot_20201019_072525.jpg
    61.7 KB · Views: 1
[emoji23][emoji23]nyine kina aunt Lee mnafurahisha kwa hizi conversation zenu. Mnaongea pumba tupu ama ndo mmesha andaliwa kwa kufikia Belgium
 
Alikosa kufunzwa na mamaye Ulimwengu utamfundisha
Ni swala la muda
Muda ni rafiki mzuri sana
Ataamkia mpaka watoto
Ameishupaza shingo......
Dunia aijaacha kufunza watu,
Watumie hata akili wamuulize hata Ruto, Kenyatta au odinga Hawa wanajua kiswahili wataongea nao wawaeleze kule sio pazuri,japo wao ufanya mzahaa,dunia imechoka gharama za kuhudumia wakimbizi sababu ya watu wachache ambao mama zao walizembea kwenye malezi.
Wajiandae kuvuna Ndimi zao. Laana na baraka ya mtu imo ndani ya ulimi wake
 

Attachments

  • Screenshot_20201019_072525.jpg
    Screenshot_20201019_072525.jpg
    61.7 KB · Views: 1
Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi.

Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa kampeni za uchaguzi zikiendelea huku viongozi mbalimbali wa serikali, vyama, dini na hata wanadiplomasia wakisisitiza amani huyu kijana ameonekana akiendelea kutoa matamshi hatari ikiwa pia na kusema hata Lissu anaweza kupigwa sindano ya sumu akiwaletea za kuleta.

Nini kinampa kiburi hadi watu washindwe kuchukua hatua dhidi yake hata ndani ya CCM ambao nadhani matamshi hayo hawayapendi kwani kiburi hicho ndio kinacho sababisha wanatupwa mkono na wananchi.

Ni kweli ni huo undugu pekee na Magufuli ndio adili ya kiburi na pia chama kushindwa kimdhibiti?

Mbona wanajimaliza?
Nyoka hawezi kuzaa mjusi, mjomba wake alivyo na kiburi ndiyo nayeye alivyo.
 
Dunia aijaacha kufunza watu,
Watumie hata akili wamuulize hata Ruto, Kenyatta au odinga Hawa wanajua kiswahili wataongea nao wawaeleze kule sio pazuri,japo wao ufanya mzahaa,dunia imechoka gharama za kuhudumia wakimbizi sababu ya watu wachache ambao mama zao walizembea kwenye malezi.
Wajiandae kuvuna Ndimi zao. Laana na baraka ya mtu imo ndani ya ulimi wake
Mwaka huu sitashaangaa kama hatutazalisha wakimbizi
 
Ambacho huwa kinaudhi kuwasikiliza CCM huwa wanaongea kwa uongo unaoonekana Kila wakati ndio maana wanaboa.Mtu kasema akiporwa ushindi atapambania ushindi wake halafu anajitokeza James anasema watamdunga sindano.

Hapohapo anasema uchaguzi mashindano mbona wao kipengere Cha kukubali matokeo wakishindwa hawakiongelei? Tundu Lissu kawa muungwana kuwa akishindwa kwa haki Atakuwa wa kwanza kujitangaza kuwa kashindwa.Ila wao hilo hawataki kusema.CCM naiona kama kikundi Cha kigaidi tu.
 
Huu ukoo utakuwa tayari na kisu kikali kwa dili zote za miaka mitano ila nadhani ushamba hautakuja kuwaondoka.

Wanadhani wao ndiyo wa kwanza kuwa na hela na madaraka.
Ukoo una laana ya mauaji si bure,kuna ndugu yao alikuwa DED aliiuwa mtu kanisani kwa kumpiga risasi ndani ya nyumba ya ibada, nashangaa viongozi wa dini kuwa sehemu ya kusapoti watu Hawa hata Kama ni njaa wangeweka aibu pembeni kuisitiri hata dini.
 
Kuna koo huwa zina laana. Haiwezekana mtu mwenye roho ya kawaida akawa anapenda kuua binadamu wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Ded aliyeua mtu kwa risasi kanisani anatoka ukoo huu huu wa laana ya mauaji.Wao kuuwa mtu sababu ya tumbo ni sawa na kunywa pepsi. Kimtokacho mtu kimo ndani mwake.
 

Attachments

  • Screenshot_20201019_082855.jpg
    Screenshot_20201019_082855.jpg
    58.9 KB · Views: 1
Adhubutu aone!! Kama yeye hana damu, na uhai wake umefungwa kwenye furushi hatembei nao! tutaona!! Mshamba mmoja!!
 
Back
Top Bottom