Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Anayoyasema huyo shoga wenu Lissu yakuingia ikulu kwa heri au shari hamyasikii sio??
 
Mkuu wa dola yuko nyuma yao! Huenda ndiye anayewatuma.
Dola gani? wakati ufalme wake umeshafitunika!!! Jiwe hana nguvu tena!! watu hawataki kujionyesha wazi!! lakini huungwi mkono na watu wengi! Subiri uje uone kipigo atakachopewa tar 28, hataamini!!

Kwanza alijua ameua upinzani!! lakini watu wamemushangaza!!
 
Kwa sababu Kaka wa Mama yake ni Rais, na Kaka yake ni Katibu Mkuu Hazina, basi Mjinga Kheri James anajiaminisha kuwa nchi hii Sasa ni kama Ranchi ya Mjomba wake kule Karagwe aliyoijenga kwa kuwapora Wananchi Ardhi
Hawa watu ni wajinga sana sijuwi kwanini wana jisahau hivi Baraka nyingine hugeuka kuwa nuksi bora Magu asingepata urais wangekuwa na kheri ila wanakuja kuishia pabaya sana
 
Take note.

"Akileta za kuleta" katika taifa.

May be anazungumzia "Uhaini" na hukumu ya "uhaini" ni kifo. So instead of "Kunyongwa hadi kufa" Wanaweza tumia sindano yenye sumu kutekeleza adhabu hiyo endapo itathibitika pasi na shaka kuwa katenda kosa hilo.

But, sometimes wana be provoked na maneno ya bwana T. Lissu.
walisha mhukumu kufa siku nyingi Mungu akatenda muujiza, wanamtest Maulana badala ya kuhukumu wanaweza kujikuta wanahukumiwa, Mdomo ni mali yao lakini waangalie sana unaweza ukawatesa milele.
kwa hiyo safari hii hawatafanya makosa?
 
Hekima ni jambo la mbolea sana kwenye maisha haya tunayoishi chini ya jua. Muombe sana Mungu akupe hekima ya kiuongozi. Hii ndio tunu ya binadamu yeyote chini ya jua. Hata Biblia imetuasa kwa yoyote aliyepungukiwa na hekima basi aombe kwa Mungu naye atampatia.
Gharama ya kutokuwa nayo ni kubwa sana. Tutaendelea kujifunza taratibu taratibu kadri siku zinavyosogea.
 
Wakuu wote pamoja na vyombo vyao vya ulinzi na usalama vinasema havioni tatizo Lissu kuwa Rais kwa sababu ni mtu mwadilifu, asiyeyumbishwa, anayependa kusimamia haki na sheria.

Matatizo yote yaliyohofiwa kwa wagombea wa upinzani mihula iliyopita sasa hayapo tena.

Ni wakati mwafaka wa kufanya transition ambayo haitaleta matatizo yoyote nchini na kuanza mwanzo mzuri wa kusimika mazoea ya vyama kuachiana vijiti.

PI
 
Back
Top Bottom