Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Atakuwa hajui kilichotoke kule Sudan & Ivory coast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana sindano Kali kapewa na mjomba wake
Ni mpwa wa mmiliki wa CCMKabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi...
Kwahiyo majina yakifanana na lazima muwe ndugu ? Acha ufala wewHeri James
Doto James
James mayanga
Hiyo ndio inner cycle
Kauli yangu kwenu ni kuwa hadi kufikia Ccm ina asilimia 90 ya ushindi sa sijui mnahangaika niniMkuu wa dola yuko nyuma yao! Huenda ndiye anayewatuma.
Nahusika na maneno niliyoandika .Kwahiyo majina yakifanana na lazima muwe ndugu ? Acha ufala wew
Huu ndio ukweli..... Yaani hao jamaa wanaruhusiwa kufanya chochote nchi hii kuliibia taifa kwa ufisadi mkubwa na hata kuua watu kwa kibali cha mjomba wao......Hatari sana kaka. Huo unaitwa utatu mtakatifu wenye baraka zote za mzee-baba.
Kuna koo huwa zina laana. Haiwezekana mtu mwenye roho ya kawaida akawa anapenda kuua binadamu wenzake.Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi.
Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa kampeni za uchaguzi zikiendelea huku viongozi mbalimbali wa serikali, vyama, dini na hata wanadiplomasia wakisisitiza amani huyu kijana ameonekana akiendelea kutoa matamshi hatari ikiwa pia na kusema hata Lissu anaweza kupigwa sindano ya sumu akiwaletea za kuleta.
Nini kinampa kiburi hadi watu washindwe kuchukua hatua dhidi yake hata ndani ya CCM ambao nadhani matamshi hayo hawayapendi kwani kiburi hicho ndio kinacho sababisha wanatupwa mkono na wananchi.
Ni kweli ni huo undugu pekee na Magufuli ndio adili ya kiburi na pia chama kushindwa kimdhibiti?
Mbona wanajimaliza?
Kajaza ndugu zake kila sehemu,kutufanya sisi shamba lao tulipe Kodi wao wafutuke na kutuletea dharau.Heri James
Doto James
James mayanga
Hiyo ndio inner cycle