Uchaguzi 2020 Nini kinampa Kheri James wa UVCCM kiburi cha matamko hatari?

Picha yake tàfadhali usikute ni shemeji yangu kwa rafiki zangu
 
Ni kweli ni huo undugu pekee na Magufuli ndio adili ya kiburi na pia chama kushindwa kimdhibiti?
Ana undugu na jiwe?

Niliona clip yake moja ni full kichefuchefu.. anasema:
"...ccm tukiamua kuleta maendeleo (eneo fulani) tunaleta, tukiamua hayaji, na cha kutufanya HAKIPO..!

...ninayo, nashindwa kui-upload hapa
 
Ana undugu na jiwe?

Niliona clip yake moja ni full kichefuchefu.. anasema:
"...ccm tukiamua kuleta maendeleo (eneo fulani) tunaleta, tukiamua hayaji, na cha kutufanya HAKIPO..!

...ninayo, nashindwa kui-upload hapa
Kuendesha nchi kifamilia
 
yeye nae pia amekaa kama kijana mzalendo na kutoa matamko kama vijana.maaana naona Chaddem huwa wanaona vijana wanao wao tu.bila kusahau kuna vijana wa ccm nao wapo vizuri tu sema wanaheshim katiba na sheria.anatoa wito kuwakumbusha wasijionee ni vijana peke yao, na wanaweze kufamya uhuni wakidhan hakuna kundi la vijana linaloweza ku kaunta meshaz michezo yao.
vijana wapo macho
 
Ana undugu na jiwe?

Niliona clip yake moja ni full kichefuchefu.. anasema:
"...ccm tukiamua kuleta maendeleo (eneo fulani) tunaleta, tukiamua hayaji, na cha kutufanya HAKIPO..!

...ninayo, nashindwa kui-upload hapa
Mjomba wake ndie anampa kiburi,thus tunataka kuondoa Utawala wa familia
 
Kwa nta zilizoko maskioni hutoweza kusikia Mkuu.

Jazba kama lote😂😂😂😂😂😂

Hizo tabia zenu na majibu yenu machafu na ushamba ndicho kinachowaponza

Kuwa nyuma ya keyboard na kutumia hiyo ID visikufanye ukakosa ustaarabu na kuonyesha ujinga wako kwa dunia. Siasa ni sayansi sio matusi
 
Kubwa naliona ni ukosefu wa mahadili ya uongozi, kuwa karibu au ndugu kwa kiongozi wa kitaifa haiwezi kua rungu ya matamshi yenye misingi ya kuhatarisha amani,mbona maneno haya hatukuyaona nyuma kwa wenyeviti wa uvccm,hata kwa watoto wa viongonzi hatukuyaona mfano RIdhiwani pamoja na kua alikua na mtandao mkubwa kuanzia wakuu wa wilaya mpaka mkoa ila alikua busy na Mambo yake,
Wazee wetu msituache vijana jitahidini kutufunda ili kesho tuwe na viongozi wazuri katika taifa
 
Matamshi yake ungeyabandika hapa ingekua poa zaidi
Mkuu mama D, najua wenda ni mfuasi na kada ila ndugu yangu, matamshi ya huyu kijana mnatakiwa kuyakemea ,anatoa matamshi ambayo hata mh bashiru au pole pole hawezi kuyasema,inakuaje utishie mgombea urais, rais alafu uangaliwe,kwamba unapiga sindano fyuu,
 
Mjomba pia ni mama
Sasa presha inatoka wapi
Ikiwa makonda tu alisumbua kiasi kile
Ndiyo itakuwa mtu na mamake

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nikiangalia kila mmoja hapa anachangia tu bila hata kuisikiliza clip yenyewe!!!

Watu wanatiririka tu ati Sindano ya Sumu!!

Katika matamshi yake kweli alitamka neno Sindano lakini hakutamka neno Kuchoma wala neno Sumu!!!

Sasa sijui haya yote yametoka wapi!
 
Ume O
 
Heri James ni sawa na ussay na uday Saddam waliuwa watu kwa sumu, mwache ajifurahishe mwisho mwisho kabla ya kumsindikiza ndugu yake sehemu salama watakiwapo watu wasiostarabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…