Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

....Kanda Maalum....
 
Usuperstar kazi.
 
usupastaa n mzigo w mwiba ukiubeba unaumia.. aendlee kukaza tu ,kunywa sumu sio suluhisho.
 
Huyu dada anamajivuno sana na wala siyo mtu poa kabisa ana kautemi flan hiv kakipuuz puuz. Kwa kifup Mimi simpend na huwa sipend watu wenye majivuno kama huyu manzi

Tatizo lake anapenda wanaume walevi na mashorobaro. Naishia hapo
Kaka watu wa kanda yao ni wababe Mim mwenyew yamenikuta, wajuaji Sana alaf ndoa zao familia mzima inahucka Kwa maamuz
 
Labuda anafikiria yule wa clouds fm alivyomkojoza bado karoho kake kanamuuma
 
Ni ngum sasa sisi kuvaa uhusika na kutoa jibu juu ya swali lako.
 
Huyu dada anamajivuno sana na wala siyo mtu poa kabisa ana kautemi flan hiv kakipuuz puuz. Kwa kifup Mimi simpend na huwa sipend watu wenye majivuno kama huyu manzi

Tatizo lake anapenda wanaume walevi na mashorobaro. Naishia hapo
Utakua unamfahamu vizuri,hata akiwa anahojiwa anapanic haraka maswali ya kuhusu mahusiano yake!Kuna kipindi wakati yupo poa na Clouds alikua anahojiwa na Dina unahisi kabisa watangazaji wanamuogopa!!Atakua ameshazinguliwa na Marioo wa kipopoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…