Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

Tutaishia kufanya assumptions tu.

But only yeye ndo anajua why alifikia kuwaza hufanya hivyo.

God is good hilo pepo lilipita.
 
Hapa ni gia ya kuachia wimbo mpya, wasanii siyo watu wakuwachukulia serious hata akisema anajirusha kwenye daraja la mfugale sawa tu. Angekuwa mhehe wa iringa kidogo tungemchukulia serious
 
Ukishaona mtu anakiri kabisa kuwa alikuwa tiyari kujimaliza ujue kuwa hiyo ni barua ya wazi kuwa siku zake si nyingi hapa planet Earth. Nyiye chukulieni powa tu ati amefulia anataka kik. Si kweli, hilo ni Pepo Mauti linamfuata.
Ushauri; Aende kanisa la kiroho akaomewe. Hakika soon atajimaliza. Mlio karibu na yeye, msiende kumwuliza ilikuwaje kwani hiyo ndio accelerator ya kumpeleka kuzim. Mpelekeni akaombewe. Au ani PM
 
Kweli,ile siku ya msiba hakuonyesha huzuni sana,pale alikua na butwaa,kutokuamini,ganzi etc ila saiv katulia maumivu yanarudi kwa kasi,ndipo anapoona kuna pengo kubwa maishani mwake
Alipaswa kulia kutoa machungu moyoni...ona sasa msongo wa mawazo unamtesa
 
Duuuh maswali na majibu bila mwenye majibu
 
Huyu dada anamajivuno sana na wala siyo mtu poa kabisa ana kautemi flan hiv kakipuuz puuz. Kwa kifup Mimi simpend na huwa sipend watu wenye majivuno kama huyu manzi

Tatizo lake anapenda wanaume walevi na mashorobaro. Naishia hapo
Si unajua anatumia sana cha Arusha. Analysis yako iko karibu na ukweli. Anapenda kulea vipaji kama wenger wa Arsernal.
 
project ya wimbo mpya wa msanii wa Rwanda DJ Pius amemshirikisha lady jaydee inazinduliwa siku si nyingi Kigali...
hii habari ya kujiua ni mpya aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…