Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Habari zenu wadau?

Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu.

Siko hapa kuwakejeli wanawake, ila naomba nijuzwe kama kuna dawa niusaidie huu mchepuko wangu maana kuna muda anakuwa kama anajisika vibaya hivi.
 
Ulishawi kukutana na mwanamke mkavu?.Siku ukikutana na mwenye uchi Dry utarudi kumshukuru huyu unayesema ana maji mengi. Anyway wanaume wengi wa kitanzania hawapendi maji, sijui niseme Ni ushamba ama Nini maana mwanamke akiloa means Unamfikisha panapo. Ukienda Uganda au ndugu zetu Wahaya wale wanarusha maji Hadi ukutani bro, ukitoka hapo huna haja ya kuoga[emoji23][emoji23]
 
Kuna utofauti kati ya maji anayozungumzia huyu mdau na Maji ya BAO.

#YNWA
 
Nasikia kule Bukoba kuna kijiji kinaitwa Katelelo, Sifa yao mabinti wa kile kijiji ni uwezo wao mkubwa wa kumwaga maji wakati wa kugegedana. Hivyo mtoa mada nakushauri usiende kule maana kazi yako itakuwa ni kujipaka sabuni tu mana maji utayakuta chumbani.

Ila wale wanawake wanene ndio wanaoongoza kwa wingi wa maji kama yale ya mto Ruvu. Kama unakereka na yale maji nakushauri tafuta wanawake wembamba kisha uje unishukuru baadae.
 
Mapenzi ni usengee tu
IMG_20230105_114946.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ulishawi kukutana na mwanamke mkavu?.Siku ukikutana na mwenye uchi Dry utarudi kumshukuru huyu unayesema ana maji mengi. Anyway wanaume wengi wa kitanzania hawapendi maji, sijui niseme Ni ushamba ama Nini maana mwanamke akiloa means Unamfikisha panapo. Ukienda Uganda au ndugu zetu Wahaya wale wanarusha maji Hadi ukutani bro, ukitoka hapo huna haja ya kuoga[emoji23][emoji23]
Kweli man niliwahi kua na mahusiano na demu mmoja wa kisukuma mwembamba hivi yani unamuandaa hata nusu saa halfu yeye ndio huwa anahisia sana na mimi ila ukiianza nae game kidogo tu anakua mkavu halfu panaitight sana hadi huwa naogopa huyu anaweza akaniambukiza ugonjwa wowote nianze kutumia mpira tu sasa...
Nilipiga nae game kama mara 5 hivi sijawah mtafuta hata siku moja yeye ndio huwa anaomba game ila mm huwa sipati raha nae sana aise ni mkavu sana
 
Back
Top Bottom