Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

Pole kwa yaliyokukuta. I am a woman[emoji4]
 
Anakua na bomba
 

Unachimba visima mkoa gani maana mvua zimegoma
 
Mbona unajumuisha wote utadhani wote wako hivyo? Kamauulize huyo huyo badala ya kujumuisha wote
 
Wanawake wote wana maji sema tunachokifanya sie tunayanywa kabla ya kuingiza.

Umekuwa unaingiza kabla ya kuyanywa mkuu?
Mkongwa anapofanya mzaha mahali sirizi
 
Ni kama unauliza makofi polisi. Hiyo kitu ni kawaida kabisa. Uke ndiyo upo hivyo na hakuna kitu kama maji mengi ukeni, hiyo ni tafsiri yako tu lakini ni kitu cha kawaida.

Kama jinsi umbo / muonekano wa uke unavyotofautiana mwanamke hadi mwanamke ndiyo na jinsi zinavyotofautiana katika utendaji kazi.

Ni suala la nini unapenda zaidi lakini huyo mwanamke hana tatizo lofote.
 
Nafikiri utakuwa mwanamke.
Kuna tofauti kubwa kati ya kurusha maji na uke kuwa wa majimaji.
Kama hujaelewa hoja bora uwe kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…