Mmh kiundani zaidi😮😅What a beautiful narrative, thank you..!!
Nilikuwa najiuliza the same question kuhusu namna risasi zinaua, nikaenda soma Google nikakutana na mambo ya 'shock wave', nikajionea tu maajabu nikatoka..!!
Hebu nisaidie kiundani tafadhali..!!
Ni bomu lililolipuliwa. Hujui!!!! Wewe unadhani ni nini na kwanini na ili iweje na kwa namna gani, nani waathirka nani wahusika, nani awasaidie, nini kifanyike kwanini, lini, wakati gani, na vipi?Habarini.
Wakuu, ni kitu gani kinasababisha watu kuuawa au kujeruhiwa na mabomu?
Asante. Kwa risasi huwa siko interested nazo sana.What a beautiful narrative, thank you..!!
Nilikuwa najiuliza the same question kuhusu namna risasi zinaua, nikaenda soma Google nikakutana na mambo ya 'shock wave', nikajionea tu maajabu nikatoka..!!
Hebu nisaidie kiundani tafadhali..!!
Nmesoma nae huyo😅Jamaa katisha aisee.
Nimesoma andiko lake nikachukia vita ghafla
thank you so much T14 Armata this has been well appreciated ndugu yangu..!!🙏Asante. Kwa risasi huwa siko interested nazo sana.
Risasi zina tofauti na matokeo yake kwa mtu ni tofauti. Risasi za kawaida za rifle kama AK-47 zinaua kwa kutoboa hivyo inategemea risasi imepenya wapi. Ikipenya ubongo, moyo au ini ndio mtu anakufa ila kuna cases chache first world country kwamba risasi imekwama kwenye fuvu na mtu anatibiwa anapona.
Risasi za anti material rifle za kupenya armoured vehicles ni kubwa na imara huwa hazipindi wala kusambaa mwilini. Ila huwa ni kubwa kidogo na zina shockwave kubwa. Shockwave inaweza kuua kama ikipiga karibu na viungo muhimu ingawa vingi huwa vinanyumbulika, ila huwa inavunja mifupa. Unakuta kwenye vita kuna watu wengi sana wamekatwa viungo sababu ya kwanza ni artillery splinters na nyingine ndio hizi bullet wounds.
Kuna risasi ndefu ambazo zikipenya hazinyooki, zikipata contact zinafanya kama wobbling kwenye mwili. Hizi hutoa kidonda kikubwa.
Kuna nyingine zinakatika vipande vya lead vinasambaa mwilini. Hizi kwenye assassinations kadhaa zimetumika. Huleta blood clotting. Tupac risasi zilimuua kwa blood clotting na hizi victims wake mostly hufa baadae siku mbili tatu hivi.
Risasi ya shotgun huwa mbaya sana kwa point blank range na mostly ina lead.
Habarini.
Wakuu, ni kitu gani kinasababisha watu kuuawa au kujeruhiwa na mabomu?
Cuba au sio?🤣Nmesoma nae huyo😅
Njia kuu ya kuua na kujeruhi vitani kwenye majeshi ya kati na ya juu ni kutumia artillery na sio mabomu. Hivyo shrapnels na splinters ndio huongoza na huogopwa zaidi hasa shell ikiwa air blast.Shukrani. Njia kuu hasa ya kuua ni ipi. Mabomu makubwa kama MOAB yanatumia njia gani?
SawaMoja kwa moja kwa heshima ya pekee..huna baya mkuu
Mlio wa mlipuko (mshituko), kujeruhiwa na moto utokanao na mlipuko huo, kujeruhiwa na vitu vilivyorusha na mlipuko huo, kurushwa na kutupwa na mlipuko.Habarini.
Wakuu, ni kitu gani kinasababisha watu kuuawa au kujeruhiwa na mabomu?
Uzi umeisha wote someni jibu hili mwende kwenye Uzi mwingineShrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.
Shockwaves na concussions. Blast huua hasa kama bomu ni la kutega ardhini na limekanyagwa na gari ulilopanda. Mtu anaweza asijeruiwe popote ila mshtuko mkali sana ukatikisa organs mwilini. Kama ni pembeni ndio pale unaona mtu katupwa pembeni.
Matokeo yanawesa onekana baadae.
Moto na joto. Bomu lina moto mkali wa joto zaidi ya 2000°C hivyo moto wenyewe kwa burn au joto linaweza kuua. Chuma kinayeyuka kwa 600°C kama sikosei. Mabomu ya moto kama incendiary burning, white phosphorus na Napalm yamepigwa marufuku na UN. Napalm ni bomu baya sana.
Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasi.
Hata jina lake tu T14 Armata nilipoliona siku ya kwanza nikashtuka nikajua huu lazma Mjeshi tena Tank officer 🤣🤣 unajua maana ya id yake 🤣🤣 ni Aina ya Kifaru Cha kijeshi MBT (main battle Tank) 🤣🤣Uchunguzwe kama sio mjeshi basi ipo haja ufuatiliwe kwa ukaribu sio kwa Maelezo haya... 😂😂😂
Mkuu, MOAB, kama jina lake lilivyo yaani "Massive Ordinance Air Blast" a.k.a Mother of all bombs, linatumia njia ya pili iliyoelezwa na T14 Armata, Shockwaves.Shukrani. Njia kuu hasa ya kuua ni ipi. Mabomu makubwa kama MOAB yanatumia njia gani?
Wamarekani wanaotoa acronyms na nicknames za majina huwa wahuni na wajanja kutoa majina yanayotamkika.Mkuu, MOAB, kama jina lake lilivyo yaani "Massive Ordinance Air Blast" a.k.a Mother of all bombs, linatumia njia ya pili iliyoelezwa na T14 Armata, Shockwaves.
Sana mkuu.Wamarekani wanaotoa acronyms na nicknames za majina huwa wahuni na wajanja kutoa majina yanayotamkika.
Ila Warusi hutoa majina mazuri sana ya silaha zao. Imagine silaha inaitwa 2K22 Tunguska
Mkuu.Shrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.
Shockwaves na concussions. Blast huua hasa kama bomu ni la kutega ardhini na limekanyagwa na gari ulilopanda. Mtu anaweza asijeruiwe popote ila mshtuko mkali sana ukatikisa organs mwilini. Kama ni pembeni ndio pale unaona mtu katupwa pembeni.
Matokeo yanawesa onekana baadae.
Moto na joto. Bomu lina moto mkali wa joto zaidi ya 2000°C hivyo moto wenyewe kwa burn au joto linaweza kuua. Chuma kinayeyuka kwa 600°C kama sikosei. Mabomu ya moto kama incendiary burning, white phosphorus na Napalm yamepigwa marufuku na UN. Napalm ni bomu baya sana.
Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasi.