Asante. Kwa risasi huwa siko interested nazo sana.
Risasi zina tofauti na matokeo yake kwa mtu ni tofauti. Risasi za kawaida za rifle kama AK-47 zinaua kwa kutoboa hivyo inategemea risasi imepenya wapi. Ikipenya ubongo, moyo au ini ndio mtu anakufa ila kuna cases chache first world country kwamba risasi imekwama kwenye fuvu na mtu anatibiwa anapona.
Risasi za anti material rifle za kupenya armoured vehicles ni kubwa na imara huwa hazipindi wala kusambaa mwilini. Ila huwa ni kubwa kidogo na zina shockwave kubwa. Shockwave inaweza kuua kama ikipiga karibu na viungo muhimu ingawa vingi huwa vinanyumbulika, ila huwa inavunja mifupa. Unakuta kwenye vita kuna watu wengi sana wamekatwa viungo sababu ya kwanza ni artillery splinters na nyingine ndio hizi bullet wounds.
Kuna risasi ndefu ambazo zikipenya hazinyooki, zikipata contact zinafanya kama wobbling kwenye mwili. Hizi hutoa kidonda kikubwa.
Kuna nyingine zinakatika vipande vya lead vinasambaa mwilini. Hizi kwenye assassinations kadhaa zimetumika. Huleta blood clotting. Tupac risasi zilimuua kwa blood clotting na hizi victims wake mostly hufa baadae siku mbili tatu hivi.
Risasi ya shotgun huwa mbaya sana kwa point blank range na mostly ina lead.