Nini kinawafanya kuridhika na kukubali rasilimali za taifa lao kutafunwa na kundi la watu wachache? Kwanini wanakuwa wapole huku wakikamuliwa?

Nini kinawafanya kuridhika na kukubali rasilimali za taifa lao kutafunwa na kundi la watu wachache? Kwanini wanakuwa wapole huku wakikamuliwa?

UFISADI ULIKUWEPO KIPINDI CHA JPM. WATU WALIKULA NCHI MPAKA KUSAZA HUKU WAKIJIPA JINA LA UZALENDO.
 
Huyu Nyankurungu2020 anataka tulie wote kilio chake cha kukatiwa mrija wa kuelekea kwenye buyu la asali! Anasahau alikuwa anatukejeli na kutubagaza wakati yeye, Mnyeti, Sabaya n.k wakirina asali ya nchi kwa mgongo wa uzalendo na kunyamazisha critics hata kwa mtutu wa bunduki
 
Huna hoja kaa kimya. Acha kupost ujinga
 
Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana.

Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu.

Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu.

Epa, Kagoda , Meremeta. Obc ya Loliondogate na nyingine nyingi

Kwa nini watanzazia hawaamuki kama mataifa mengine?
Kwa sababu ni wapumbavu
 
Hiyo ndiyo rule of the game. Survival of the fittest. Kama huna ubavu na ulishangilia kuitwa "MNYONGE" na Dikteta wa Chato, you will definitely perish. Toka Dunia iumbwe hakuna mahali penye equitable distribution of wealth.

Wewe Nyankurungu2020 unaongea sana kwa sababu aidha (1) hujapata fursa ya kufisadi au (2) ulikuwa ni mnufaika wa Dikteta wa Chato na sasa huna chako.

Mengine yote ni UTOPIA, jipange upya tafuta riziki yako na wategemezi wako. Acha kulialia humu JF haiwezi kukusaidia kitu
 
Kama mtu anaiba kura ili kuwa kiongozi mtu huyu anashindwa vipi kuiba natural resources za nchi yake kujinifaisha binafsiView attachment 2272387
Na akijitolea muungwana kutaka kuwatetea na kuwaamsha Hao YOUTHS watakuja kutumwa Hao Hao Youths wakudhalilishe na hata kukudhuru ikibidi huku wakiwa wamelipwa ujira mdogo sana kwa hiyo kazi waliyopewa !! Na watakuwa na furaha sana baada ya kukamilisha kazi yao !! Watasema mission accomplished !! Salaaleeh!! Kweli Dunia hadaa Ulimwengu Shujaa !!
 
Back
Top Bottom