Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AlaaaaaNonsense
Huna hoja kaa kimya. Acha kupost ujingaHuyu Nyankurungu2020 anataka tulie wote kilio chake cha kukatiwa mrija wa kuelekea kwenye buyu la asali! Anasahau alikuwa anatukejeli na kutubagaza wakati yeye, Mnyeti, Sabaya n.k wakirina asali ya nchi kwa mgongo wa uzalendo na kunyamazisha critics hata kwa mtutu wa bunduki
Kwa sababu ni wapumbavuHili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana.
Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu.
Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu.
Epa, Kagoda , Meremeta. Obc ya Loliondogate na nyingine nyingi
Kwa nini watanzazia hawaamuki kama mataifa mengine?
Vumilia tutatue marinda hadi uukimbie uzi wako.Huna hoja kaa kimya. Acha kupost ujinga
Hiyo ndiyo rule of the game. Survival of the fittest. Kama huna ubavu na ulishangilia kuitwa "MNYONGE" na Dikteta wa Chato, you will definitely perish. Toka Dunia iumbwe hakuna mahali penye equitable distribution of wealth.Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana.
Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu.
Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu.
Epa, Kagoda , Meremeta. Obc ya Loliondogate na nyingine nyingi
Kwa nini watanzazia hawaamuki kama mataifa mengine?
Mashoga mnaotafuta mabwana huwa nawablockVumilia tutatue marinda hadi uukimbie uzi wako.
Na akijitolea muungwana kutaka kuwatetea na kuwaamsha Hao YOUTHS watakuja kutumwa Hao Hao Youths wakudhalilishe na hata kukudhuru ikibidi huku wakiwa wamelipwa ujira mdogo sana kwa hiyo kazi waliyopewa !! Na watakuwa na furaha sana baada ya kukamilisha kazi yao !! Watasema mission accomplished !! Salaaleeh!! Kweli Dunia hadaa Ulimwengu Shujaa !!Kama mtu anaiba kura ili kuwa kiongozi mtu huyu anashindwa vipi kuiba natural resources za nchi yake kujinifaisha binafsiView attachment 2272387