Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Kama hamjuai semeni hamjui, sasa ukianza kusema hakuna solution uongo huoo
mbona bado na wewe hapo haujamsadia? c umasaidie bac jamani......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hamjuai semeni hamjui, sasa ukianza kusema hakuna solution uongo huoo
mhhhh.
swali lingekuwa, nini namna ya kuzuia tumbo/kitambi baada ya kuzaaa....hili nalo vipi, manake wanaume wengi wanawachoka wake zao baada ya kuona kitumbo kimeongezeka baada ya kujifungua...utazuiaje tumbo lisiwe kubwa, utafanya nini ili lirudi kama kawaida yake
Luv huamini au?
Kaizer nanyie wanaume mnachangia kufanya wanawake wasijiamini....nyie ndio mnataka au ndio hivyo tunavyosikia sie kama mnapenda boobs that stands at attention....u know its very depressing to be a woman u should understand our pressure lollllllHivi kina dada/mama zangu
Ni lini mtajiamini? Ni lini mtaamini kuwa kuanguka/kutoanguka kwa matiti ni maumbile, na from a man's perspective, that has got nothing to do na mapenzi yangu kwako? why do you want to eat your cake and have it?
Mi nilidhani la Muhimu ni kuwa thankful kuwa umepata mtoto walau (manake wengi hawapati bahati hiyo) kisha matiti sio kila kitu kwenye mwili wako...kuna miguu, kuna kucha, kuna ngozi, kuna ATM, sijui kuna unywele...(Mungu hawezi kukupa vyote)
Fab........:whip:
Kaizer nanyie wanaume mnachangia kufanya wanawake wasijiamini....nyie ndio mnataka au ndio hivyo tunavyosikia sie kama mnapenda boobs that stands at attention....u know its very depressing to be a woman u should understand our pressure lollllll
but a boob job is out of question...I can't stand the thought of someone cutting off my nipples and reattaching them... :yuck:
Fab may be dont bring sooo many kids... I think this is what I will do... I will just have one kid...
Kaizer nanyie wanaume mnachangia kufanya wanawake wasijiamini....nyie ndio mnataka au ndio hivyo tunavyosikia sie kama mnapenda boobs that stands at attention....u know its very depressing to be a woman u should understand our pressure lollllll
but a boob job is out of question...I can't stand the thought of someone cutting off my nipples and reattaching them... :yuck:
Fab may be dont bring sooo many kids... I think this is what I will do... I will just have one kid...
Matiti kuanguka pia inategemea na maumbile ya mtu,kuna wengine wananyonyesha hata watoto watatu lakini ukimuangalia matiti kama binti wa form 2.Lakini kikubwa nikuwa proud of who you are na hata kama utanyonyesha na yakawa ndala..u shud learn to love uaself first b4 anybody can love u back.[/QUOTE]
Hizi ni PWENTI tupu.. Kwani wewe unachotaka nini baada ya kuzaa?
unaweza ukawa nae 1 na bado likaanguka kuliko la mwenye wa 2-3...inategemea na umbile la mtu..kama mwanaume alikuta chuchu saa 6 abaada ya uzazi zikabadilika bac anatakiwa na yeye ayakubali hayo mabadiliko mana umemletea kiumbe duniani na mabadiliko ya hapa na pale ni muhimu, yaani ni ishu ya mwanaume kulitambua/kulielewa hilo kabisaa....
Mrs leo unamwaga point au kwa vile asubuhi tulisalimiana kwanza kabla hatujatoka?:hug:
hii mambo ya kujihini na kujisumbua kisa tu mwanume 'labda' atataka niwe hivi......stiaki!!! nimesema labda maana huji leo atakutak auweje na kesho uwe vipi!!!!
hebu tujiamini tu vile tulivyo jamani, in this case pia tujue hatuwezi kushindana na asili!! hivi unatake uwe kama ulivyokuwa 20 yrs back?? there are natural changes in ur body u cant fight against!!! unataka matiti yako yawe as firm as u used to be ulivokuwa kigoli na sasa umeshanyonyesha......nunua bra ya maana tu basi (sio mama nibebe )
Love me as I am!!!
hapo sasa...aumbe wake wa kumzungusha zungusha leo hivi kesho vile...i luv u soo much ma dearest! napenda mcmamo wako wa maisha.
LOL...Noname...umeamkia wapi leo?
Ni wanaume wa namna gani hao ambao hadi sasa wanakufanya mwanamke kama wewe usijiamini jamani? kama una mwanaume wa hivyo, anayetaka boobs ziwe attention, kesho:
-Atataka uwe na mahips makubwa
-Atataka uwe na bambataaa kuubwa
-Atataka uwe na tumbo flat sijui
-atataka uwe na miguu ya bia
na vyote ivo, vinawezekana thanks to mchina (thanks carmel for ur insights on this)
sasa wanaume tunaeleweka kuwa leo tupo hivi kesho vile....so atatake pia uwe na boobs ndogo, usiwe na hips kubwa wama bambataa kubwa, etc. so taanz akufanya diet au kujislim, mwisho wa siku unakuwa huelewini na hapo mwanaume anasepa, anatafuta orijino.....unaachwa!
kwa hiyo msisingizie wanaume....jamani kikubwa ni KUJIAMINI ulivyoumbwa basi....haya mambo ya kujifanyia maoperation sijui nini, hayana tija
ninaelewwa na ninakubaliana na traditional methods za kurudisha umbo lako la awali, kama
-kufunga tumbo baada ya kujifungua
-kunyonyesha inavotakiwa kama walivosema wengine hapa (sikubaliani na wanaosema eti msinyonyeshe-huko ni kumkosea mtoto HAKI yake ya msingi)
-kuangalia vyakula unavyokula, nk
"LOL its weekend over here man... nimeamkia kushoto.... sio kama sijiamini... am pretty over confident... nooo no my guy thinks i have perfect figure...he never complains honestly...lakini mie nilikuwa naongelea in general ... hivyo ndio tunavyosikia kama wanaume wanapenda wanawake wenye big boobs, slim figure etc, so in one way or another it affects women.... thats why u see women goes for boob jobs, crush diets etc.... I think this happens to mentoo...why do they think size does matter? (u know what am talking here)
"LOL its weekend over here man... nimeamkia kushoto.... sio kama sijiamini... am pretty over confident... nooo no Kaizer thinks i have perfect figure...he never complains honestly...lakini mie nilikuwa naongelea in general ... hivyo ndio tunavyosikia kama wanaume wanapenda wanawake wenye big boobs, slim figure etc, so in one way or another it affects women.... thats why u see women goes for boob jobs, crush diets etc.... I think this happens to mentoo...why do they think size does matter? (u know what am talking here)